Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Nipo hapa mkoani Kagera na kwa kweli mambo ni moto baada ya Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM Dr Magufuli kumaliza kampeni na kuelekea Kigoma ambako mapokezi yake huko yameisimamisha Kigoma yote, hapa Kagera wameingia Yanga timu ya wananchi.

Ngoja nimtafute bwashee mrangi tubadilishane mawazo maana huku ndio kwao.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nipo hapa mkoani Kagera na kwa kweli mambo ni moto baada ya mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM Dr Magufuli kumaliza kampeni na kuelekea Kigoma ambako mapokezi yake huko yameisimamisha Kigoma yote, hapa Kagera wameingia Yanga timu ya wananchi.

Ngoja nimtafute bwashee mrangi tubadilishane mawazo maana huku ndio kwao.

Maendeleo hayana vyama!
Ukiitwa mramba miguu unarusha ngumi hewani
 
Wahaya sio watu wazuri.

Hawakuogopa yale mabunduki makubwa na maaskari wote wale?

Kuzomewa sio poa, isikie kwa mwenzio tu
 
Rangi za kijani na Njano hapa Tanzania zinapendwa na Watanzania wengi sana kuliko nyekundu na nyeupe maana huko kumejaa Wahuni na wababaishaji tu.

Zidumu hizi Rangi pendwa.
 
Rangi za kijani na Njano hapa Tanzania zinapendwa na Watanzania wengi Sana kuliko nyekundu na nyeupe maana huko kumejaa Wahuni na wababaishaji tu.

Zidumu hizi Rangi pendwa.
 
Nipo hapa mkoani Kagera na kwa kweli mambo ni moto baada ya mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM Dr Magufuli kumaliza kampeni na kuelekea Kigoma ambako mapokezi yake huko yameisimamisha Kigoma yote, hapa Kagera wameingia Yanga timu ya wananchi.

Ngoja nimtafute bwashee mrangi tubadilishane mawazo maana huku ndio kwao.

Maendeleo hayana vyama!

IMG_1694.jpg

Kweli kabisa, kijani na njano hoooyiiiiii!
 
Back
Top Bottom