Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Uchaguzi bado, kuna mengi akiyarekebisha anaweza pata kura nyingi za watu wanaojielewa. 1) ajielekeze kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM, ngonjera za ya aliofanya zimekifu.2)apime anaongea wapi na akina nani, mwanakijiji hajui sgr, ndege au bwawa la umeme. 3) tuhuma za kukandamiza haki za binadamu zinajibiwa kimzaha sana na watendaji wake, ana wajibu kuelezea. Ni mengi, naishia hapo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Kitu cha Infinix X650B 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kisa nini mkuu? Kisa katawala Mtz/mbeligiji!!! Mwambie hii ni nchi yetu na hatuna uraia Pacha kama Yeye alivyo, asituharibie akitaraji kukimbilia Kwao kwingine
Nasikia wewe nawe ulikuwa mmojawapo wa walio taka kumuondoa lissu!
 
Na ikitokea eti Ndiyo amekuwa Raisi.....😂😂😂 Sjui itakuweje tu, Tanzania itakuwa imeweka historia ya hovyo Sana kuwa na Rais wa hovyo, asiye amini usomi wa Watanzania wote, Raisi anayewadharau wasomi wooote na kuwaona wote ni wasomi uchwara

Yoote yaliyofanywa na wasomi miaka hii mitano kwake yote ni hovyo Tu!!
Porojo hatutaki... Lissu ndie rais ajae 2020-2025
 
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.21 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.21 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.21 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.20 PM (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.20 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.19 PM (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.19 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.18 PM (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.18 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.17 PM (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-09-16 at 12.05.17 PM.jpeg

View attachment 1571180
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana.

MGOMBEA ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba wananchi wa jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu kuhakikisha wanajenga mnara wa mawasiliano kati yao na Rais Dk.John Magufuli kwa kuchagua Rais, Mbunge , madiwani kutoka Chama Cha Mapinduzi( CCM).

Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Kagera waliohudhuria mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 28 mwaka huu, Byabato amesema katika uchaguzi hakuna sababu ya hao kufanya makosa kama yaliyofanyika uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kuchagua mbunge na madiwani wa upinzani.

"Bukoba Mjini tulikosea mwaka 2015 kwa kuchagua upinzani , na hivyo kukata mawasiliano kati yetu na Rais Magufuli.Huu ni mwaka wa kujenga mnara wa mawasiliano,naomba wote tumchague Dk.Magufuli kwa nafasi ya urais,mnichague mimi kwenye ubunge jimbo la Bukoba Mjini pamoja na wabunge wote wa CCM,"amesema Byabato.

Amefafanua kuwa ni kweli maendeleo hayana Chama na ndio maana Rais Magufuli amefanya maendeleo makubwa bila kuombwa na mtu yoyote lakini kwa upendo wake mkubwa kwa wananchi wa Bukoba Mjini na Kagera Mjini ameleta maendeleo.

Ameongeza katika miaka mitano iliyopita chini ya uongozi wa Rais Magufuli wananchi wa Bukoba Mjini kunamaendeleo makubwa yamefanyika na kwamba Sh.bilioni 158 zimetumika kwa maendeeleo."Tunatambua kwamba yote hatukuomba lakini tumezipata fedha hizo kwa upendo mkubwa alionao kwa ajili yetu."

Amesisitiza Bukoba Mjini kuna taa za barabarani wamepata kilometa 13 za lami, wamepata mradi mkubwa wa maji wenye kuzalisha lita milioni 18 wakati mahitaji ni lita milioni 15 kwa siku na hivyo kubaki na ziada ya lita milioni tatu na kwamba yote hayo yamefanyika sio kwasababu waliomba bali yametokana na Rais Magufuli na mapenzi yake kwa wananchi.

Pia Sh.milioni 500 zimetolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya vituo vya afya na leo, miundombinu katika sekta ya afya imeboreshwa na kuimarika sana."Hayo yote hatukuomba katika miaka mitano lakini tumepewa.Nawaombeni wana Bokoba, tusifanye makosa tena.Tumchague Dk.Magufuli kwanza jina lake ni kubwa hata ukilitaja unasikia raha.

"Tujenge mnara wa mawasiliano ambao utakuwa rasmi kwa ajili ya kupeleka mawasiliano kati ya wananchi na Rais wetu.Tunataka tukipiga simu kwa Rais tunaambiwa mawasiliano yapo na tunayoomba yanafanyiwa kazi, Bukoba iwe na mawasiliano mazuri na sio ukipiga unaambiwa Not reachable,"amesema Byabato.
WhatsApp%2BImage%2B2020-09-16%2Bat%2B8.54.24%2BAM.jpeg

WhatsApp%2BImage%2B2020-09-16%2Bat%2B8.54.25%2BAM%2B%25281%2529.jpeg

Sehemu ya Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Kagera waliohudhuria mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 28 mwaka huu
WhatsApp%2BImage%2B2020-09-16%2Bat%2B8.54.25%2BAM.jpeg

Mbunge anayeamini maendeleo yanaletwa na rais kwa buruma na upendo wake na si wananchi kupitia kodi zao anawezaje kuisimamia serikali ili itumie kodi za watanzania vizuri?Hapo hanna mtu anayepaswa kuchaguliwa kuwa mbunge
 
"Bukoba Mjini tulikosea mwaka 2015 kwa kuchagua upinzani , na hivyo kukata mawasiliano kati yetu na Rais Magufuli.Huu ni mwaka wa kujenga mnara wa mawasiliano,naomba wote tumchague Dk.Magufuli kwa nafasi ya urais,mnichague mimi kwenye ubunge jimbo la Bukoba Mjini pamoja na wabunge wote wa CCM,"amesema Byabato.
Hivi ule msemo MAENDELEO HAYANA CHAMA unamaanisha nini?...
 
Katika dini ya Kiislam kukariri ni dili imekuwa tofauti kwa Shakh huyu muhaya yeye amesoma sala yote katika karatasi kwa kiswahili sara yenye mvuto na matumaini makubwa.

Askofu wa KKKT Kagera naye alikuja na daftali kubwa na kusoma sala yenye mpangilio na mtiririko ambao unaleta matumaini kama ya Shekh.

Pia na Askofu wa katoriki yeye alikwenda mbali zaidi na kuja na kitini kikubwa sana na kushusha maombi yenye mtililiko mzuri wa kuvutia na kubariki.

Ukifwatilia utaona hawa jamaa walikaa zaidi ya siku si chini ya 7 wakiaandaa sara ya kampeni kweli hawa watu ni wasomi tusiwabeze, wanaelewa maana ya usomi.
Askofu wa katoliki??nani huyo?
 
Back
Top Bottom