Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Wewe dini imeshakuharibu Mkuu, mbona yule alieshika nafasi ya mwisho ni mchungaji na hajafikisha kura 50,000 kazidiwa na yule anaehubiri bangi kila siku?....

Kwanini Mungu asimame na RUTO ambae amefanya issue nyingi mbovumbovu Kama mauaji ashindwe kusimama na Mchungaji wake?

Kwahiyo Mungu yeye anashughulika na RUTO NA ODINGA , lakini hana mda na mtumishi wake?..

Mungu amesimama na RUTO mbona hajashinda uchaguzi sasa kwa kishindo? Mbona inaonekana Kama uchaguzi utarudiwa.
Ety MUNGU VS SHETANI.....Mimi naona ni 49% vs 49% kwahiyo Mungu anapelekeshwa na shetani akishinda odinga Mungu ameshindwa?

Ufikirie wakati mwingine ukiwa unaandika
 
jamani hali ya Babu inaendeleaje?
kazinduka? maana nasikia alizimia na kupoteza kabisa fahamu!!
jamani hali ya Babu inaendeleaje?
kazinduka? maana nasikia alizimia na kupoteza kabisa fahamu!!
Ww umemjua odinga mwaka huu? Tena kati ya mtu ambae hana pressure ni yeye, kapita vigingi vizito yeye na atwol mmiliki wa citizen walifungwa na daniel arap moi kipindi flani, yee hawezi pata stress na vitu Kama hivyo
 
Nonsense
 
jamani hali ya Babu inaendeleaje?
kazinduka? maana nasikia alizimia na kupoteza kabisa fahamu!!
Kwa kifupi labda nikwambie ww na watu wengine wabishi kama ww. Security Details za Raila Odinga zimeongezeka watu wa usalama tayari wapo nae kumlinda Mr president ambao wanabisha Raila sio next president wapo nyuma sana kwa kukosa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…