Umenichekesha kichiz hapo eti Leo nitamsaidia kulia Zaid. Humu ndani watu mna vipaji Sana vya vituko. Ebu faster pitia hapo kwa Mangi uagizie chochote ukisubiria Ruto kutangazwa Rais ntapitia baadaye na range yangu vogue autobiography 2022 kulipa.Sasa leo utamsaidia kulia zaidi.Tulia kwa TV uone number zinavyokwenda kubadirika kwa kasi.Walianza na stronghold za Ruto na ndizo zimewafanya muwe na matumaini,sasa hivi zinakuja za RAO.
Bado kama kura 1.5M tuu, kwa vyovyote vile inavyoonekana huu uchaguzi kutakuwa na duru ya 2.Pia fahamu kwa sasa ndiyo wanaanza kuverify stronghold za RAO.Hiyo gap unayoiona inakwenda kufutika haraka sana.
Hata wakiverifu Strong hold za baba yenu majibo 50 ni kidogo sana kubadilisha matokeo. Iyo ni kama 15%. Raila akishinda huu uchaguz basi hata Irene Uwoya aanzishe chama chake na agombee 2025 Mbona atambwaga mama tu.Unapaswa kujua kwa sasa ndiyo wanaverify stronghold za Mzee Raila.Ukae hapo hapo uendelee kuangalia kibao kinavyogeuka
Dah mkuu. Let's wait and see.Bado kama kura 1.5M tuu, kwa vyovyote vile inavyoonekana huu uchaguzi kutakuwa na duru ya 2.
[emoji23][emoji23] Mkuu inabidi tufurahi tu hakuna namna.Kabla sijaenda kwa Mangi kuchukua kinywaji unapaswa kujua pia kuna Count ya Kisumu,pale Ruto kapigwa gap ya 400k +,sasa Chebukati akiziweka hapo,hiyo gap ya Ruto inapotea,ngoma inakuwa droo tunaanza kuitafuta 50 % +1 VoteUmenichekesha kichiz hapo eti Leo nitamsaidia kulia Zaid. Humu ndani watu mna vipaji Sana vya vituko. Ebu faster pitia hapo kwa Mangi uagizie chochote ukisubiria Ruto kutangazwa Rais ntapitia baadaye na range yangu vogue autobiography 2022 kulipa.
Unajua kuna Count ya Kisumu peke yake inafuta hiyo gap?Hata wakiverifu Strong hold za baba yenu majibo 50 ni kidogo sana kubadilisha matokeo. Iyo ni kama 15%. Raila akishinda huu uchaguz basi hata Irene Uwoya aanzishe chama chake na agombee 2025 Mbona atambwaga mama tu.
Kwani hawajahesabu huko? Hivi hao majamaa ya tume yanahesabu vipi haya matokeo? Na hizo county zilizosalia ni strong hold za baba?Unajua kuna Count ya Kisumu peke yake inafuta hiyo gap?
Kama raha jipe mwenyewe, basi na faraja jipe mwenyewe [emoji2][emoji2][emoji2]Unapaswa kujua kwa sasa ndiyo wanaverify stronghold za Mzee Raila.Ukae hapo hapo uendelee kuangalia kibao kinavyogeuka
Hawajahesabu bado kwa ngome kuu ya Raila ndiyo maana unawaona wanajiamini na upande wa pili pia wametulia.Mpaka jana usiku walikuwa wamemaliza ngome kuu za Ruto.Kwani hawajahesabu huko? Hivi hao majamaa ya tume yanahesabu vipi haya matokeo? Na hizo county zilizosalia ni strong hold za baba?
Hata wewe ruksa kujipa raha,maisha yenyewe ndiyo haya haya Mkuu [emoji23][emoji23]Kama raha jipe mwenyewe, basi na faraja jipe mwenyewe [emoji2][emoji2][emoji2]
Hata wakiverifu Strong hold za baba yenu majibo 50 ni kidogo sana kubadilisha matokeo. Iyo ni kama 15%. Raila akishinda huu uchaguz basi hata Irene Uwoya aanzishe chama chake na agombee 2025 Mbona atambwaga mama tu.
Constituency za kisumu zote zilishajumlishwa kwenye matokeo yaliyopo, Sasa matokeo ya mlima na rift valley ndo yanatiririka. Baba yenu anarudi bondo[emoji23][emoji23] Mkuu inabidi tufurahi tu hakuna namna.Kabla sijaenda kwa Mangi kuchukua kinywaji unapaswa kujua pia kuna Count ya Kisumu,pale Ruto kapigwa gap ya 400k +,sasa Chebukati akiziweka hapo,hiyo gap ya Ruto inapotea,ngoma inakuwa droo tunaanza kuitafuta 50 % +1 Vote
I wished mzee Raila ale hata 5 yrs but wakenya ndo wameamua Ruto!Constituency za kisumu zote zilishajumlishwa kwenye matokeo yaliyopo, Sasa matokeo ya mlima na rift valley ndo yanatiririka. Baba yenu anarudi bondo
Ngome yote ya Ruto wamemaliza jana.Unabisha wakati matokeo yapo Live kwa TVConstituency za kisumu zote zilishajumlishwa kwenye matokeo yaliyopo, Sasa matokeo ya mlima na rift valley ndo yanatiririka. Baba yenu anarudi bondo
Kama wewe unavyojipa faraja etiHata wewe ruksa kujipa raha,maisha yenyewe ndiyo haya haya Mkuu [emoji23][emoji23]