Umenichekesha kichiz hapo eti Leo nitamsaidia kulia Zaid. Humu ndani watu mna vipaji Sana vya vituko. Ebu faster pitia hapo kwa Mangi uagizie chochote ukisubiria Ruto kutangazwa Rais ntapitia baadaye na range yangu vogue autobiography 2022 kulipa.Sasa leo utamsaidia kulia zaidi.Tulia kwa TV uone number zinavyokwenda kubadirika kwa kasi.Walianza na stronghold za Ruto na ndizo zimewafanya muwe na matumaini,sasa hivi zinakuja za RAO.