Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Sasa leo utamsaidia kulia zaidi.Tulia kwa TV uone number zinavyokwenda kubadirika kwa kasi.Walianza na stronghold za Ruto na ndizo zimewafanya muwe na matumaini,sasa hivi zinakuja za RAO.
Umenichekesha kichiz hapo eti Leo nitamsaidia kulia Zaid. Humu ndani watu mna vipaji Sana vya vituko. Ebu faster pitia hapo kwa Mangi uagizie chochote ukisubiria Ruto kutangazwa Rais ntapitia baadaye na range yangu vogue autobiography 2022 kulipa.
 
Kipindi hiki jirani zetu wa Kenya wako kwenye kipindi cha uchaguzi.Kenya ni ndugu zetu mipaka iliwekwa na wakoloni.Ndio maana unaweza kuta lugha flani inaongelewa Kenya na Tanzania mfano Kijaluo na Kimasai.

Kumeshawahi kuwa na waziri wetu mmoja wa elimu alikuwa raia wa Tanzania lakini mwenye vinasaba vya Kenya.

Kuna baadhi ya majina ya Kenya yapo pia Tanzania mfano Wambura na Mwita.

Mimi mwenyewe nina ndugu zangu wa damu ambao ni Wakenya.

Hayo ni maelezo kuonyesha undugu wetu.Kenya ikiingia kwenye shida na sisi tunapata madhara makubwa.

Nawaombea mfanye uchaguzi wa amani na salama Mungu awakabariki
 
Unapaswa kujua kwa sasa ndiyo wanaverify stronghold za Mzee Raila.Ukae hapo hapo uendelee kuangalia kibao kinavyogeuka
Hata wakiverifu Strong hold za baba yenu majibo 50 ni kidogo sana kubadilisha matokeo. Iyo ni kama 15%. Raila akishinda huu uchaguz basi hata Irene Uwoya aanzishe chama chake na agombee 2025 Mbona atambwaga mama tu.
 
Umenichekesha kichiz hapo eti Leo nitamsaidia kulia Zaid. Humu ndani watu mna vipaji Sana vya vituko. Ebu faster pitia hapo kwa Mangi uagizie chochote ukisubiria Ruto kutangazwa Rais ntapitia baadaye na range yangu vogue autobiography 2022 kulipa.
[emoji23][emoji23] Mkuu inabidi tufurahi tu hakuna namna.Kabla sijaenda kwa Mangi kuchukua kinywaji unapaswa kujua pia kuna Count ya Kisumu,pale Ruto kapigwa gap ya 400k +,sasa Chebukati akiziweka hapo,hiyo gap ya Ruto inapotea,ngoma inakuwa droo tunaanza kuitafuta 50 % +1 Vote
 
Kwani hawajahesabu huko? Hivi hao majamaa ya tume yanahesabu vipi haya matokeo? Na hizo county zilizosalia ni strong hold za baba?
Hawajahesabu bado kwa ngome kuu ya Raila ndiyo maana unawaona wanajiamini na upande wa pili pia wametulia.Mpaka jana usiku walikuwa wamemaliza ngome kuu za Ruto.
 
Ambacho huwa kinanifurahisha Kenya,no Wananchi they don't care about Chama wenyewe wanaangalia Jina LA mgombea.
Chama kinaundwa miezi 7 au mwaka kabla ya uchaguzi na kinaibuka kidedea.Vilevile,hivyo vyama unakuta vinaungana katibu 3-5 na kuunda chama kimoja ,sasa huku Tanzania kila kiongozi was chama amejaa ubinafsi kuungana imekuwa tatizo.
 
Hata wakiverifu Strong hold za baba yenu majibo 50 ni kidogo sana kubadilisha matokeo. Iyo ni kama 15%. Raila akishinda huu uchaguz basi hata Irene Uwoya aanzishe chama chake na agombee 2025 Mbona atambwaga mama tu.

Huyu hatuwezi kumpa kura zetu, anavyozibuliwa atatutia aibu, atakuwa anatoa maushuzi kila baada ya dakika tano
 
[emoji23][emoji23] Mkuu inabidi tufurahi tu hakuna namna.Kabla sijaenda kwa Mangi kuchukua kinywaji unapaswa kujua pia kuna Count ya Kisumu,pale Ruto kapigwa gap ya 400k +,sasa Chebukati akiziweka hapo,hiyo gap ya Ruto inapotea,ngoma inakuwa droo tunaanza kuitafuta 50 % +1 Vote
Constituency za kisumu zote zilishajumlishwa kwenye matokeo yaliyopo, Sasa matokeo ya mlima na rift valley ndo yanatiririka. Baba yenu anarudi bondo
 
Constituency za kisumu zote zilishajumlishwa kwenye matokeo yaliyopo, Sasa matokeo ya mlima na rift valley ndo yanatiririka. Baba yenu anarudi bondo
Ngome yote ya Ruto wamemaliza jana.Unabisha wakati matokeo yapo Live kwa TV
 
Back
Top Bottom