Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election

Uchaguzi ulifanyika 09/08/2022, hakuna uchaguzi uliofanyika hiyo tarehe uliyoitaja, labda huo ulikuwa uchaguzi wa kiongozi wa wagsnga wa kienyeji!
 

Ndiyo raha ya kila nchi kuwa na katiba na utaratibu wake! Ukienda Afrika Kusini nako utasema umeupenda, Marekani utasema umeupenda, Burundi utasema umeupenda, fusta yaliyoko kwako maana ungejua saa hizi huko yanarindima mabomu usingesema kuwa umeupenda!
 
Lissu alijaribu kabadilisha hali,lakini Watanzania hawakumpa mtikio.
 
Umenifanya nicheke sana!
 
Yaani acha tu.Tanzania bado sana.
 
kisumu walishamaliza jana mkuu, ulikua wapi?

Kura nchini zipo Mount Kenya, huko ndiko kwenye wapiga kura walioshiba Kenya. Kwa kawaida anayeshinda Mt Kenya, ndiye anayekuwa amefunga kazi ya uraisi nchini Kenya! Hapo Ruto lazima atatangazwa dakika 6 zijazo! Let us wait! Hakuna sehemu yenye population kubwa Kenya kama kwa Wakikuyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…