Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
πŸ™Œ it's official ruto ameshinda kiti cha uraisi kenya pongezi kwake tusubiri matokeo halisia sasa ya tume Iebc. Ameshinda kwa 51.5%.
 
Kikwete anazungumza na waandishi wa habari muda huu!
 
Source???
Kama ilivyooneshwa citizen portal ikaenda hivyo nadhani Ruto anaelekea kuchukua nchi na ikiwa hivyo sijui aibu Uhuru ataiweka wapi. Na je what if ilikuwa ni janja yao na Ruto kum-fool Odinga? Maswali yatakuwa mengi. Tusubiri tuone.
 
Hawawezi sio kazi rahisi kama unavyofikiria..labda ungesema hata rayol media ndio kidogo wanaweza kuwa angalau vifaa venye kasi kwanza unadownload wapi si hapo hapo IBEC portal..
Mkuu ww ni mbishi sana don't underestimate watu usiowajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…