Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source???[emoji119] it's official ruto ameshinda kiti cha uraisi kenya pongezi kwake tusubiri matokeo halisia sasa ya tume Iebc. Ameshinda kwa 51.5%.
Kama ilivyooneshwa citizen portal ikaenda hivyo nadhani Ruto anaelekea kuchukua nchi na ikiwa hivyo sijui aibu Uhuru ataiweka wapi. Na je what if ilikuwa ni janja yao na Ruto kum-fool Odinga? Maswali yatakuwa mengi. Tusubiri tuone.Source???
Ila bora wakati wa kikwete uchaguzi kwetu matokeo yalikuwa ya kweli. Hasa ya wabunge.Kikwete anazungumza na waandishi wa habari muda huu!
Ngoma draw49.7% Ruto kwa 48.8% RAO
Haukufuatiliwa kwa kuwa haukuwa liveMbona uchaguz wa kwetu watu walikuwa haufuatili hivi [emoji1]
Ova
Mkuu ww ni mbishi sana don't underestimate watu usiowajua.Hawawezi sio kazi rahisi kama unavyofikiria..labda ungesema hata rayol media ndio kidogo wanaweza kuwa angalau vifaa venye kasi kwanza unadownload wapi si hapo hapo IBEC portal..
Hakuna draw hapo. Baba anaongozaNgoma draw
CHEBUKATIHivi huwa ni Chibukati au Chebnukati??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bongo hakuna uchaguzi, ila kurasimisha awamu.Unajua bongo watu wamechoka na hawaaminiki tena kwa hiyo watu wanakuwa na wasiwasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHuo msonyo mkiwa chumbani ni busu mpaka mwili unasisimka, msonye tena asilete ujinga
Alafu ww mtoto hujalala toka jana au ww ni jini!!!?Duuuh hadi sahivi bado kura zinahesabiwa??? Mweeeeh hii hatareeee.
Kheeeeeh, kivipi tena??Uchaguzi unarudiwa. Hakuna mtu wa kufika 50+1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raila huyu baba ashinde niwe na amani, namuonea huruma mnoo, wampe hata muhula m1 aridhike na yeye.Alafu ww mtoto hujalala toka jana au ww ni jini!!!?
Manake nimeamka usiku wa manane naona bado unachati tu duuuh ww kiboko
Unajipiga romance mwenyewe!🙌 it's official ruto ameshinda kiti cha uraisi kenya pongezi kwake tusubiri matokeo halisia sasa ya tume Iebc. Ameshinda kwa 51.5%.
14M na ushee kidogo.Hivi jumla ya wapiga kura walikuwa wangapi