Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kama ilivyooneshwa citizen portal ikaenda hivyo nadhani Ruto anaelekea kuchukua nchi na ikiwa hivyo sijui aibu Uhuru ataiweka wapi. Na je what if ilikuwa ni janja yao na Ruto kum-fool Odinga? Maswali yatakuwa mengi. Tusubiri tuone.
Hakuna kitu Kama hiko... Uhuru asingeweza kumfoool odinga ili apunguze kura za swaiba ake...kwenye uchaguzi wenye ushindani Kama huo
 
Kenya wana maendeleo na uchumi mkubwa zaidi kuliko Tanzania, japokuwa wapo wachache na ardhi kidogo yenye ukame kuliko sisi na chaguzi zao zina ushindani kila mara,
Sasa Tanzania hizo hela unasema tinaziokoa zinasaidia nini?
Kununua V8 , na bite za wakubwa kwenye ofisi za viyoyozi,
 
Unaweza kuwa unafuatilia vi channel ambavyo wanahesabu polepole wapo kwenye 5m + halafu unasema come back kumbe watu tangu saa 8 za usiku wapo kwenye 6m na walishavuka hiyo hatua
Naangalia hapa wapo kwenye Million 6.4 kwa Odinga labda kama washavuka huko useme
 
Odinga ashinde fasta,huyu Baba ni mvumilivu na mstaarabu,yuko tayari kufanya 'handshake' na wapinzani wake kwa manufaa ya Umma,hakati tamaa,hana lugha chafu,anatufaa East Afrika.

Rutto naona anajazba sana na tamaa ya madaraka,alishindwa kumsaidia raisi kujenga nchi akaanza mizunguko ya kujiimarisha na kuropoka hovyo,Kuna kauli alitoa kuhusu DRC haikuwa nzuri kidiplomasia,anaweza kutuvuruga E.A.

Ajifunze kwaza uvumilivu wa Baba.
 
Wewe inaonekana ni shabiki wa Ruto, maana hakuna hata mara moja uliyorusha matokeo ambayo Odinga anaongoza. Ukweli ni kuwa vituo vyote ealikuwa wana alternate, wakati mwingine anaongoza Ruto na wakati mwingine anaongoza Raila.
Huyu anatoa jumla ya kura , inavyoenda nchi nzima , so kosa lake liko wapi, ?
 
Wewe inaonekana ni shabiki wa Ruto, maana hakuna hata mara moja uliyorusha matokeo ambayo Odinga anaongoza. Ukweli ni kuwa vituo vyote ealikuwa wana alternate, wakati mwingine anaongoza Ruto na wakati mwingine anaongoza Raila.
Hayo masuala ya vituo Mimi yananihusu nn na ikiwa kila kituo kinatoa IEBC? Kwa nn na wewe usitoe huko?

Ipo hivi; kuongoza tu ruto inawezekana kulingana na preference yako ya kujumuisha kwenye stronghold zake, ikija stronghold ya odinga unaweka pembeni unaendelea Subiri ya Ruto then baadae unairudia ya odinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…