Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Live Updates;
Ruto 6,558,675(50.2)
Raila 6,369,382(49.1)
Ruto 6,558,675(50.2)
Raila 6,369,382(49.1)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu litakua moja form A34 ziko uploaded kwenye website yao nawewe unaweza ukafuatilia ukapata takwimu zako binafsi
Waaaache weeee ninong'oneze basi huko mbali unapokumbuka walau na mm ? Haya nambie mtoto mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo avatar yako, inanikumbusha mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahWaaaache weeee ninong'oneze basi huko mbali unapokumbuka walau na mm ? Haya nambie mtoto mzuri
Hakuna kitu Kama hiko... Uhuru asingeweza kumfoool odinga ili apunguze kura za swaiba ake...kwenye uchaguzi wenye ushindani Kama huoKama ilivyooneshwa citizen portal ikaenda hivyo nadhani Ruto anaelekea kuchukua nchi na ikiwa hivyo sijui aibu Uhuru ataiweka wapi. Na je what if ilikuwa ni janja yao na Ruto kum-fool Odinga? Maswali yatakuwa mengi. Tusubiri tuone.
Nakuprove wrong hapa...sijui unasemajeLive Updates;
Ruto 6,558,675(50.2)
Raila 6,369,382(49.1)
Kituo gani wewe?Live Updates;
Ruto 6,558,675(50.2)
Raila 6,369,382(49.1)
Ukitulia hasa haya mambo ya Baba kuupata walau muhula mmoja uninong'oneze ulichokumbuka basi na mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Source yako mkuuLive Updates;
Ruto 6,558,675(50.2)
Raila 6,369,382(49.1)
Wewe inaonekana ni shabiki wa Ruto, maana hakuna hata mara moja uliyorusha matokeo ambayo Odinga anaongoza. Ukweli ni kuwa vituo vyote ealikuwa wana alternate, wakati mwingine anaongoza Ruto na wakati mwingine anaongoza Raila.Live Updates;
Ruto 6,558,675(50.2)
Raila 6,369,382(49.1)
Kununua V8 , na bite za wakubwa kwenye ofisi za viyoyozi,Kenya wana maendeleo na uchumi mkubwa zaidi kuliko Tanzania, japokuwa wapo wachache na ardhi kidogo yenye ukame kuliko sisi na chaguzi zao zina ushindani kila mara,
Sasa Tanzania hizo hela unasema tinaziokoa zinasaidia nini?
Naangalia hapa wapo kwenye Million 6.4 kwa Odinga labda kama washavuka huko usemeUnaweza kuwa unafuatilia vi channel ambavyo wanahesabu polepole wapo kwenye 5m + halafu unasema come back kumbe watu tangu saa 8 za usiku wapo kwenye 6m na walishavuka hiyo hatua
IEBCKituo gani wewe?
Huyu anatoa jumla ya kura , inavyoenda nchi nzima , so kosa lake liko wapi, ?Wewe inaonekana ni shabiki wa Ruto, maana hakuna hata mara moja uliyorusha matokeo ambayo Odinga anaongoza. Ukweli ni kuwa vituo vyote ealikuwa wana alternate, wakati mwingine anaongoza Ruto na wakati mwingine anaongoza Raila.
IEBCSource yako mkuu
Usikae na source moja ukaenda nayo hiyohiyo. Nakupa poleNakuprove wrong hapa...sijui unasemajeView attachment 2320836
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Pengine hata huelewi nazungumzia nini.Jibu litakua moja form A34 ziko uploaded kwenye website yao nawewe unaweza ukafuatilia ukapata takwimu zako binafsi
Hayo masuala ya vituo Mimi yananihusu nn na ikiwa kila kituo kinatoa IEBC? Kwa nn na wewe usitoe huko?Wewe inaonekana ni shabiki wa Ruto, maana hakuna hata mara moja uliyorusha matokeo ambayo Odinga anaongoza. Ukweli ni kuwa vituo vyote ealikuwa wana alternate, wakati mwingine anaongoza Ruto na wakati mwingine anaongoza Raila.