Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

Rais mpya ajaye ana kibarua kizito cha kukabiliana na hali mbaya ya ukosefu wa usalama....magenge ya uhalifu (bandits) na kigaidi (Iswap) yamejikita kwenye majimbo mengi na kuleta mateso kwa raia.
Obi Mkristo angeshinda magaidi wangefanya mashambulizi mengi kwa miaka ya kwanza ila wangepigwa. Tinubu Mwislamu akikubaliwa kuwa Rais magaidi hawatofanya mashambulizi kupitiliza na serikali haitoshughulika nao. Nigeria inakuwaga hivyo, Goodluck Jonathan alivyoondoka tu Boko Haram wakaacha kuteka wanafunzi.

Huyu Buhari alikuwa anawachekea Boko Haram ambao ni kabila lake, nao hawakuwa wanafanya matukio sana. Baadae ISWAP walivyoanza kupambana na Boko Haram na kufanya matukio na wananchi wakachukia to the maximum ndipo Nigeria ikanunua silaha na kufanya missions kali kabla ya uchaguzi. Uchaguzi ukiisha hutoona operations za kuwapiga waasi endapo chama tawala kitaendelea. Ila silaha za jeshi la Nigeria zimenunuliwa nyingi kwa gharama kubwa miaka miwili hii.

BAT hata uwezo wa kusimama vizuri hana, elimu yake haijulikani, umri wake kadanganya miaka zaidi ya kumi kwa sababu mwanamama mmoja aliyekuwa deputy wake na mdogo kiumri alishastaafu miaka kibao nyuma uko. Na classmates wa Tinubu elimu za kwanza walishastaafu na kusahaulika ila wa elimu za juu hawajulikani kwani hakufika uko. Then ni muuza madawa ya kulevya mstaafu.
Hawezi ongea bila kusoma speech mzee wa agbado. Ukijichaganya ukamuuliza maswali anasahau alichojibu.

Obi na obidients wake ni kama woke community. Ni jamii fulani king'ang'anizi ambayo haipendi kuambiwa ukweli kwamba kushinda kwa mazingira ya Nigeria hakupo, na ni jamii ya vijana wanaotumia sana media na hype kufanya kampeni. Obi ametumia makanisa na wachungaji wamempigia kampeni mno. Yeye binafsi nina imani anajua haya ila mashabiki zake hawataki kuelewa. Obidients watakuwa wapinzani wazuri na ni basis nzuri ya uchaguzi ujao kama Obi atabaki relevant. Maana najua lazima Tinubu awe kilaza kupindukia, we uliona wapi mgombea hata jimbo aliloongoza na alikozaliwa linamkataa wakati Nigeria ni nchi ya ubaguzi wa majimbo?
Yani Samia agombee alafu Unguja alikozaliwa wasimpigie kura.

Obi ndio ana unafuu kati ya wagombea wote ila hana connection kubwa na uzoefu. Akikaa calm hivihivi uchaguzi ujao atawakimbiza. Hata hivyo kaleta sense ya uwajibikaji kwa viongozi, Nigeria wanaoamua Rais awe nani na kakundi kadogo tu wala hakana kelele machoni mwa watu. Marais walikuwa wanafanya lolote as long as kale kakundi kanatimiza malengo mwananchi anadharauliwa ndio maana hiyo nchi huwa ina mambo ya ajabu sana yanatokea.
 
Tinubu alibase Lagos ndio maana huko Osun kiasili ambako ndio nyumbani kwake amepoteza( i might be wrong on this) na Lagos nako kashindwa ila ninadhani kwa Nature ya Nigeria na siasa zake Lagos ni sehemu ngumu sana (kuna factor nyingi hapa kwanza Lagos ina'refclect' whole population of Nigeria with it's whole diversity kushinda Duh hapa pagumu sana )
 
Vyama Tawala Barani Afrika having'olewi hovyo hovyo bali kwa Mikakati thabiti na Uthubutu bila ya kuwa Muoga wa Kufa au Kufungwa Jela.
Heading na content haviendani. Anyway kwani ni lazima kutwiti kumpongeza?

Eti mwamsheni....., ni lugha isiyokuwa na staha. All in all umeandika rubbish ndugu, ungempongeza huyo mnaijeria bila kuandika vitu visivyo na ulazima. Purely talented my foot!
 
Huyu Buhari alikuwa anawachekea Boko Haram ambao ni kabila lake, nao hawakuwa wanafanya matukio sana. Baadae ISWAP walivyoanza kupambana na Boko Haram na kufanya matukio na wananchi wakachukia to the maximum ndipo Nigeria ikanunua silaha na kufanya missions kali kabla ya uchaguzi. Uchaguzi ukiisha hutoona operations za kuwapiga waasi endapo chama tawala kitaendelea. Ila silaha za jeshi la Nigeria zimenunuliwa nyingi kwa gharama kubwa miaka miwili hii.
Ila Buhari kajitahidi sana kuwapiga Bokoharam kwa ushirikiano na nchi jirani za kieneo Chad na Cameroon sidhani kama kuna kundi la kigaidi lililofanya mauaji makubwa ya watu wengi Africa hii kama bokoharam.

kuuawa kwa Shekau na magaidi hasimu wa "Iswap" baada ya mzozo na mgawanyiko baina yao kumesaidia mno kutuliza hali japo kidogo, maana kwa sasa bokoharam haina nguvu kubwa isipokuwa tu "Iswap" ndio imechukua nafasi yao.

ila magenge ya utekaji (bandits) wanaoendesha utekaji na kudai fidia kubwa ndio yameshika hatamu mpaka kulazimu baadhi ya serikali za majimbo kuhamisha au kusitisha shughuli zake, hapa Rais ajaye ana kazi ngumu sana...............hata kwenye kupambana na ufisadi Buhari kajitahidi mno japo bado sio rahisi kushinda.

Ila matatizo ya Nigeria yana mizizi mirefu mno kuna wanaosema "Nigeria ni nchi tu ila sio taifa" hivyo mizozo mingi inayowakumba inatokana na hilo.
 
Tinubu alibase Lagos ndio maana huko Osun kiasili ambako ndio nyumbani kwake amepoteza( i might be wrong on this) na Lagos nako kashindwa ila ninadhani kwa Nature ya Nigeria na siasa zake Lagos ni sehemu ngumu sana (kuna factor nyingi hapa kwanza Lagos ina'refclect' whole population of Nigeria with it's whole diversity kushinda Duh hapa pagumu sana )
Tinubu hakutakiwa kushindwa majimbo mawili hayo. Kwanza ni kiongozi wa Lagos mstaafu, alitumia muda wote kusema alivyofanya transformation ya Lagos kisha leo anashindwa hilo jimbo tena wameiba kura aonekane ameshindwa kidogo. Pamoja na kwamba Lagos ni muunganiko wa jamii nyingi na ni wasomi na wanaopitia machungu yote ya Nigeria ila mgombea kukataliwa na jimbo aliloongoza sio sign nzuri.
Na hapo Osun wanashindwaje kumpa kura wakati Nigeria wana ukabila mkubwa sana.
Ni kama Magufuli agombee urais kisha Chato kwao na Biharamulo alikoongoza wasimpe kura. Na hapo Tz hakuna ukabila na ujimbo, imagine kwa Nigeria yenye hali hiyo
 
Kwahiyo waislamu ni asilimia ngapi ya wanaijeria?

50% muslim North
40% Christian South
10% no dini

Waislam wa North ambao ni Hausa na Fulan ndiyo wametawala sana siasa za Nigeria,wengi wa Rais wao wanatoka huko Kaskazin

Gen Yakoub Gowon
Gen Murtala Mohamed
Gen San Abacha
Gen Abdulsalam Abubakr
Gen Babangida
Gen Buhar

Democratic elected from North
Umar Mussa ya’dur
Shehu Shagar
Sasa ni Bola Ahmed Tunubu
 
Population wanadanganya wahuni hao hamna kitu. That's why they killed Dr. Obadiah
 
Ila Buhari kajitahidi sana kuwapiga Bokoharam kwa ushirikiano na nchi jirani za kieneo Chad na Cameroon sidhani kama kuna kundi la kigaidi lililofanya mauaji makubwa ya watu wengi Africa hii kama bokoharam.

kuuawa kwa Shekau na magaidi hasimu wa "Iswap" baada ya mzozo na mgawanyiko baina yao kumesaidia mno kutuliza hali japo kidogo, maana kwa sasa bokoharam haina nguvu kubwa isipokuwa tu "Iswap" ndio imechukua nafasi yao.

ila magenge ya utekaji (bandits) wanaoendesha utekaji na kudai fidia kubwa ndio yameshika hatamu mpaka kulazimu baadhi ya serikali za majimbo kuhamisha au kusitisha shughuli zake, hapa Rais ajaye ana kazi ngumu sana...............hata kwenye kupambana na ufisadi Buhari kajitahidi mno japo bado sio rahisi kushinda.

Ila matatizo ya Nigeria yana mizizi mirefu mno kuna wanaosema "Nigeria ni nchi tu ila sio taifa" hivyo mizozo mingi inayowakumba inatokana na hilo.
Kwangu mimi Buhari ni failed president kwa muda mrefu. Ukianza kumfuatilia Buhari miaka miwili hii kabla ya uchaguzi ambapo yeye na genge lake walishtuka wanaweza poteza urais ndio utaona anafaa ila ni hafai kabisa.

Buhari ni retired General, alishaongoza nchi baada ya kufanya mapinduzi miaka ya 1980s akafanya transformation kwa civilian leadership. Alishindwa nini kupambana na Boko Haram na jeshi la Nigeria lote na uzoefu wake serikalini na jeshini?

Buhari na Boko Haram ni kabila moja la Fulani. Hao ndio tuseme Wamasai + Wakurya wa Nigeria ila wana fujo sana na wengi Waislamu kama walivyo raia wengi wa Kaskazini. Buhari na Boko Haram waliongea lugha moja wakaelewana, magaidi hawakupigwa na hawakufanya mashambulizi wakati Goodluck Jonathan alivyokuwepo mara nyingi tu wanateka wanafunzi na kuwaficha Sambisa forest. Boko Haram ilitumika kuidestabilize Nigeria GJ aonekane hawezi. Btw alikuwa mnyonge kama ilivyo kwa makamu wa Rais wa Kiafrika, alikuwa makamu wa Umaru Yar'Adua ambaye asingekufa Nigeria walikuwa wamepata the best president mgumu kupatikana.

Niliandika humu siku moja, ukitaka kujua Nigeria ni wapuuzi huyo Abubakar Shekau katafutwa na jeshi miaka sijui mingapi eti hawajui alipo, kila wakifanya operation anajua kabla. Wakaja ISWAP baada ya ISIS kupigwa pale Syria na Iraq, ISWAP hawakuwa zaidi ya 2000 kipindi wanamuua Shekau. Yani kundi halikukaa zaidi ya mwaka likamuua wakati jeshi lenye maelfu, silaha nzito na bajeti halikuweza muda wote huo. ISWAP walipigana na Boko Haram baada ya kutofautiana kwenye msimamo mkali, BH ni wahuni tu wanalipwa hela na ni biashara ya watu kwa namna fulani. Kuna maeneo ya Nigeria hawajawahi kanyaga.

Chad inazidiwa uchumi na Tanzania, inazidiwa na Nigeria zaidi ya mara kumi na imewapiga magaidi. Cameroon ilikuwa na performance nzuri kuliko Nigeria inaowazidi kila kitu. Ghafla mwaka jana mashambulizi dhidi ya Boko Haram yakawa makubwa, ghafla jeshi likawa na performance nzuri dhidi ya magaidi. Sasa ngoja uchaguzi uishe hizo nguvu za jeshi utashangaa zimeishia wapi.
 
Goodluck Jonathan huko aliko ataKuwa anajialaumu saba kwanini pindi ile aliachia madaraka kirahisi.. africa is africa tu..wenzake hana muda wa kuachia madaraka ni mwendo wa uhuni mwanzo mwisho.
Matokeo ya mabunge yamefanyiwa collation Electronically ila ya Urais wanataka yafanyike manually naona na Obasanjo katoka na speech
 
Back
Top Bottom