Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Unaifahamu CCM Kirumba kweli wewe?
 
bila usafiri kubeba walioko nje ya miji tunahutubia 30% ya watz....
ukikusanya na mabasi unawafikia 70%.

leo tunabeza kwa ujinga wetu ... soon tunalia tumeibiwa kura
Tunasubiri usafiri tuje tujaze uwanja
 
Hili swala la kujaza watoto wadogo kwenye kampeni limekaaje??
 
Barabara nakataa
 
Mimi naona wanaomshauri JPM awaangalie kwa jicho la tatu, Mimi ni CCM lakini hii ya kuachisha watoto shule ili tuwajibu wapinzani kwamba tumejaza halileti picha nzuri maana inaonyesha Sasa tumekosa hoja, wanaopiga Kura wapo majumbani na kwenye kazi wakiwa wanasubiri hoja siyo sindimba za upinzani za kujaza watu.
 
Kwanza mnamchosha hata Raisi maana Mwanza ni kubwa kwelikweli Sasa kumsimamisha mtu aongee sehemu zilizokaribiana inamaanisha nini, igoma, nyakato, buzuruga, mabatini ni sehemu zilizokaribu Sana watu wangeweza kukaa sehemu moja wakapewa hoja.
 
CDM walidai Lissu kaondoka na kijiji mwanza, wakaonywa Magufuli akitua hapo anaondoka na jiji zima la mwanza.

Halafu huo umati wa Mwanza cha mtoto ngoja Magu afike Dar alipowagusa watu wengi zaidi ndio tutaelewa nini maana ya umati kufurika.
Kama dar nita ondoka niende moro nikae siku mbili kisha nirudi dar maana jam ya hapo sijui itakuwaje.
 
Acheni basi kujaza watoto wadogo na kulazimisha watumishi kuja kungeza idadi ya watu ,muwe na aibu nyinyi kijani kibichi , Mara mumulazimishe mama Maria Nyerere mna laana nyie , yeye ndio aliwatuma msiajiri , msiongeze mishahara , msipandishe madaraja , msilipe wastaafu kwa miaka mitano ?
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za Watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba...
Ana visasi,siyo kiongozi bali mtawala katili kwa watu/raia wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…