The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Naona Kampeni zinamshinda Mkulu .... anahutubia badala ya kukampeni. Kwa kweli hotuba zinaboa na hazina mvuto. Hazungumzi na wananchi kama anavyofanya Lissu .... Kama hatabadili mkakati, mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi!!Meko kakaliwa kooni uchaguzi huu. Mwenyewe alijua kampeni za mwaka huu zitakuwa mteremko kwake, kumbe sivyo ilivyo. Anavuja jasho utadhani mtu aliyefumaniwa.
Huyu ni mkuu wa kaya atakayeweka rekodi ya kutawala kipindi kimoja pekee.
NI MOJA KATI YA HOTUBA ZAKE BORA KABISA, UKIWA MWANZA NA UNAOMBA KURA YOU GOT TO BE VERY VERY SMART, MAANA MWANZA NDIYO DECIDING FACTOR YA URAIS WA TANZANIA, LEO NI RASMI MAGUFULI NI TANO TENA 2020-2025. Ni machungu upande wa pili, umati ule Tundu lissu itamchukua miaka 30 kuupata ndani ya mwanza na sehemu nyingine. hAHAHAHAHAAH Mbeya tunakuja kuwashikaToka kampeni zianze nimekuwa nikisikia maoni ya watu kuhusu hotuba za Rais Magufuli.
Baadhi ya maoni yalikuwa yanataja mapungufu na kasoro kadhaa katika hotuba zake. Leo nimechukua mda wangu kumsikiliza na nimefurahishwa na ubora wa hotuba yake leo; ama amejifunza kama wakosoaji walikuwa sahihi au wakosoaji walikuwa wanamsingizia.
Au pengine Mwanza ndiyo Game changer ya uchaguzi huu na bahati ya JPM.
Mtabaki kufoka lakini ndiyo hivyo tena subirini 2025-2030 mjaribu bahati yenu, siyo sisi ni wana Mwanza ndiyo wamesababisha.Meko kakaliwa kooni uchaguzi huu. Mwenyewe alijua kampeni za mwaka huu zitakuwa mteremko kwake, kumbe sivyo ilivyo. Anavuja jasho utadhani mtu aliyefumaniwa.
Huyu ni mkuu wa kaya atakayeweka rekodi ya kutawala kipindi kimoja pekee.
Kampeni zimeisha leo bwashee, impact ya mkutano wa leo hata asipopiga kampeni tena, achiwe lisu ahangaike peke yake hatapata pumzi ya bridge kilichofanyika. Mkutano umeangaliwa hadi na WHITE HOUSE kule marekani, chezea chuma weweNaona Kampeni zinamshinda Mkulu .... anahutubia badala ya kukampeni. Kwa kweli hotuba zinaboa na hazina mvuto. Hazungumzi na wananchi kama anavyofanya Lissu .... Kama hatabadili mkakati, mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi!!
Dr.Bashiru alimdanganya wanunue wapinzani wakadhani wamemaliza kazi kumbe ndiyo kwaanza shuhuli inaanza upyaMeko kakaliwa kooni uchaguzi huu. Mwenyewe alijua kampeni za mwaka huu zitakuwa mteremko kwake, kumbe sivyo ilivyo. Anavuja jasho utadhani mtu aliyefumaniwa.
Huyu ni mkuu wa kaya atakayeweka rekodi ya kutawala kipindi kimoja pekee.
Kuna wanafunzi mhuni huyo No. 12 kwny hilo group,ameona isiwe inshu akataja jina la mchezaji ili wasiendelee kumsumbuaKazi tu kusomba watu kwenye malori na kuwalazimisha wanafunzi ,wafanyakazi na wanachuo kwenda kiwanjaniView attachment 1561598View attachment 1561600
Angalia hapo ITV wamemquote mzee baba- Ndege yeyote itatua CCm Kirumba Mwanza
View attachment 1561595
Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali.
Mwaka 2015, Dkt Magufuli na chama chake walipata ushindi mnono jijini Mwanza na viunga vyake. Je, wapiga kura wataendelea kuwaamini na kuwapa ridhaa? Kuwa nami kukujuza yatakayojiri leo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi jijini Mwanza.
=====
Yaliyojiri
Dkt. Magufuli amesema: Tumefanya ukarabati wa Meli 5 na tumejenga Meli mpya kwa gharama ya Bil 152. Tumejenga vivuko vya MV Mwanza na MV Ilemela kwa Bil 2.7
"Nataka Meli zetu za MV Mwanza, MV Victoria na nyingine ziwe zinasafiri hadi Bukoba, Uganda, Musoma na kuja Mwanza"
Tumeanza kujenga Reli ya umeme na ili ikamilike ndiyo maana tumekuja tena kuwaomba kura. Mnaona Ndege kubwa za abiria na mizigo zinaondoka moja kwa moja hadi Ulaya.
"Inawezekana mkachagua wengine tutakuwa tumepoteza mipango ya kuiendeleza Mwanza"
Zamani maeneo ya huku ikiwemo Chato ilikuwa ukitaka kwenda DSM lazima upite Bukoba hadi Uganda, ukazunguke Kenya ndio uende DSM
"Yaani unaenda Makao Makuu ya Nchi yako ila lazima uzungukie Nchi mbili za jirani, haya sasa hayapo. Ukiona vyaelea vimeundwa"
Tunaupanua uwanja huu wa Mwanza, ndege yoyote kutoka nchi yoyote itatua hapa, tuongeze watalii, tukuze uchumi wetu.
Wapo wanaobeza atapigiwa kura na madaraja, watu wanaopita kwenye hayo madaraja, wanaotibiwa kwenye hospitali tulizojenga watanipigia kura Okt. 28.
======
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha kofia Msanii wa Bongo Flavor Nasib Abdul Diamond ambaye alikuwa akitumbuiza katika Mkutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 7 Septemba, 2020 jijini Mwanza
View attachment 1561615
View attachment 1561614
View attachment 1561616
Siyo toka ufunguzi mkuu, tangu 2016! Tumeshaikariri, vivuko, ndege, flyover, barabara kiromita erufu 3!hotuba ya ufunguzi mpaka ya leo ni ile ile....hakuna jipya.
MELI IPI ILIYONUNULIWA?>Ndiyo
Mwanza ndipo sehemu pekee ambayo hawapaswi kuiangusha CCM
✓ Barabara nzuri
✓ Wamenunuliwa meli
✓ Daraja la juu
✓ Uwanja wa ndege umepanuliwa vizuri
✓ Biashara za samaki zimeboreshwa siku hizi wanasafirisha kwenda nje ya nchi
Na mengineyo
Ndiyo kazi mliyobakiza Mzee baba kawatuliza, bado Mbeya kwenye kambi yenu ya ukimbizi mwaka huu lazima muombe poo na kazi ndiyo kwanza imeanza. Kampeni za ccm zilianza rasmi pale uwanja wa kambarage SHYTOWN, sasa ni bandika bandua hadi 28 October, hadi mpoteane makamandaBwaaaa bwahaaa, yaani nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Naomba nisife ndani ya hii miaka mitano iwapo jiwe ataendelea kuwa rais wa nchi hii, sina hakika kama vichekesho hivi vipo huko ahera madukani
😂#nakazia ajirekodi kbsToka ameingia madarakani mkuu, mpaka ninasema ni bora ajirecord kama vile vispika vidogo vya kuuzia dawa ya mende na simu za kichina. Na kuhusu nyomi hamna shida maana nyomi linafuata fiesta.