Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Leta hutuba hiyo kama ni nzuri.. ukiona hata sehemunya hotuba hujaleta ujue mnatekeleza maaigizo ya bashiru kusifia kila kitu.
Toka kampeni zianze nimekuwa nikisikia maoni ya watu kuhusu hotuba za Rais Magufuli.
Baadhi ya maoni yalikuwa yanataja mapungufu na kasoro kadhaa katika hotuba zake. Leo nimechukua mda wangu kumsikiliza na nimefurahishwa na ubora wa hotuba yake leo; ama amejifunza kama wakosoaji walikuwa sahihi au wakosoaji walikuwa wanamsingizia.
Au pengine Mwanza ndiyo Game changer ya uchaguzi huu na bahati ya JPM.