Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Wewe acha izo mambo bhana kwani CHADEMA walikuwa hawana mgombea urais hadi wasubiri lowasa akwate ndio aje kugombea akili zake zikishakuwa za kibavicha huwa unaburuzwa tu sio shauri lako ni wale vijana wa ufipa kina mmawia wamekurukiza upofu.
Kwahiyo alimhonga nani hizo pesa ?

CHADEMA hatuna rushwa kwenye mchakato wa uchaguzi
 
Chadema mkijikoroga kwa kuangalia pesa badala nini wananchi wanahitaji mtalaumiwa sana. Huyo Dr nani sijui Nyalandu mnapoteza nao muda. Hao bado ni ccm
TL ni wewe tu!
 
Ila nimeona Makamanda wameanza leta sintofahamu Bulaya,Mdee na wengine,sijui kama wamevunja kanuni zao au la lakini haileti picha nzuri hasa ukizingatia ndo wapo kwenye mchakato inaonesha ubaguzi mkubwa sana.

Hii si nzuri hata kidogo itamfanya Nyalandu na yule Mama kujiona wao ni wametengwa.
 
Too Sad Lissu atashindwa kwa wajumbe.Wajumbe wa Chadema kutwa kusifia wajumbe wa CCM kuwatema wageni..Cha kuchangaza wao wanapigia kura wageni. Ndo maana Newton akajisemea for every action,there is an equal and opposite reaction.
Upo na Lijiha-Likali?! Mpe pole ya kura zote 7!
 
Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
ona lofa hili katika uzombi wake wa lumumba. wewe mambo ya CHADEMA yanakuhusu.. au ndo kuwashwawashwa kama alivosema babayenu MEKO
 
Kwa hiyo Nyalandu toka CCM anataka kupeperusha bendera ya chadema kweli? Chadema haina uwezo wa kutengeneza watu mahiri watakaogombea urais? Hiki chama bado sana, angalau in Lissu I see a true opposition leader, just that I don't see a president in him.
 
Maswali ya kamati kuu yatakuwa

Lissu una sh ngapi za campaign? 15,000Tsh

Nyalandu una ngapi? 15bnTsh

Nyalandu atapewa tu

And that 15bn italiwa vizuri na mzee wa KIA na Nyagi
[emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Sioni Nyalandu akimshinda Lissu, ninachoona huenda kama mwenye chama anataka maslahi kama Zama za Lowassa hapo labda, ilà in all fairness Lissu anapeperusha bendera ya CDM, kura nyingi zitakuwa za huruma as wanawake asilimia kubwa watampa yeye.
 
Kwa sasa anahitajika mtu sahihi wa kupambana na CCM. Mtu ambaye amethibitisha bila shaka yoyote kuwa ni CHADEMA halisi. Asiyeyumba, asiyetia shaka, aliyejitoa kwa damu, na maisha yake yote kwa ajili ya mabadiliko.

Hakuna mtu wa namna hiyo zaidi ya Tundu Lisu.

Wageni wanakaribishwa lakini haiwezekani wageni ambao bado wapo kwenye jitihada za kuivishwa katika tanuru la mageuzi, wakakimbilia kuongoza mageuzi. Watulie kwanza, wazidi kutoa michango yao, wathibitishe pasipo shaka uvumilivu wao, subira zao na hekima zao, kabla ya kuwa mbele kuongoza mapambano. Hawa wageni, kuna magumu mengi hawajapitia, wapewe muda zaidi, tuone ustahimilivu wao, ndipo sote tuwe na uhakika kuwa iwe mbele ya mlango wa magereza, mbele ya mtutu wa bunduki, mbele ya mali zako zikiteketezwa - bado wataimba na kusimama kwenye siasa za mabadiliko.

Mpaka alipo sasa Nyalandu ni asset, lakini bado anahitaji muda zaidi wa kudhihirisha kuwa yeye ni alama ya mabadiliko.

Pamoja na ukweli kwamba TAL ndiyo chaguo sahihi lakini mchakato uendeshwe kwa uwazi na kila alieyegombea na wafuasi wake wathibitishe pasipo shaka kuwa TSL amepitishwa kwenye mchakato huru na wa haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ona lofa hili katika uzombi wake wa lumumba. wewe mambo ya CHADEMA yanakuhusu.. au ndo kuwashwawashwa kama alivosema babayenu MEKO
Wewe ndiye umeonyesha upunguani wa hali ya juu sana. Anaechaguliwa na cdm atakuwa mgombea urais wa Tanzania na akishinda atakuwa raisi wa JMT. Iweje useme mambo ya chadema hayamhusu?

Kwani raisi huyo atawaongoza wanachama wa cdm peke yao? Akili zenu zimehalibiwa sana na viloba. Serikali isingezuia viroba asilimia kubwa ya vijana wa cdm mngekuwa vichaa.
 
😕 Kwa hiyo ni kamati kuu ndio wanapopigiwa kura?
 
Mbowe kweli ni Mwamba! He speaks not like a president but more than a president!
Look at his authoritative voice!!
 
Ninasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Chadema wawe makini sana kwenye kuchagua muwakilishi wao.

Lisu akipitishwa lazima watammaliza kupitia kesi zake zinazoendelea.
 
nenda kanyonye dushe la mumeo umbwa wee. mambo ya lumumba yamewashinda mnafatilia mambo ya CHAMA MAKINI CHADEMA mmeishiwa nyie.
 
Ni TUNDU LISSU tu ndio kiboko ya dikteta
 
Mbowe hawezi kukubali mgombea urais masikini kama Lisu, Chadema misingi yake ni ubepari kutafuta pesa lazima Nyalandu apitishwe, Nyalandu ni tajiri

Ndio maana uliamua kurudi na Mzee wako EL kule mlikotokea siyo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…