Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Kigezo chako ni pesa za kampeni,, vipi Tanzania yetu?

Bara letu litaendelea kuendeshwa na mabara mengine kama tutaendelea na ubinafsi wa aina hii.

Nyalandu au Membe wa Act ni watu ambao watatubakisha kwenye business as usual.

hatutasonga popote,, tutajikuta tunashangilia tena uchumi wa kati kutoka matangazo ya world bank huku hali zetu zikiendelea kuwa duni.
Hata iweje lazima Ulaya na Asian watutawale maana imeandikwa hivyo.
 
Lisu hawezi kuongoza hii nchi. Asije akapigwa magongo na bodi guard kwenye miguu chemba ikampindua bure
Mmemtia kilema halafu mnamdhihaki.

Rais aliyeongoza USA kwa muda mrefu ... mpaka akafia madarakani alikuwa na ulemavu wa miguu. Rais Franklin Roosevelt (1933 - 1945). Wananchi walimpenda kwa ajili ya akili na busara zake. Au unaamnini ni Push up ndizo zilizomfanya Mh apate hicho cheo .....!!?
 
Jamani eeeeeh,hivi ni mimi tu ndio sijaelewa au wote dhumuni la uzi huu ni kutupa updates zote zinazoendelea pale mlimani city sasa mbona hatupati izo updates?
 
Jamani eeeeeh,hivi ni mimi tu ndio sijaelewa au wote dhumuni la uzi huu ni kutupa updates zote zinazoendelea pale mlimani city sasa mbona hatupati izo updates?
Molemo kaingia mitini baada ya Lissu kugalagazwa na Nyarandu.
 
unaijua CHADEMA wewe? muadilifu dr. slaa alitupwa pembeni akateuliwa fisadi lowasa kugombea urais. CHADEMA wanachotaka ni pesa, hayo mambo ya kupendwa na watu sio kipaumbele chao!
Kwani Lisu hajarudi na Dola?
Wahisani watakuwa wamemuwezesha
 
Halafu Uhuru wa mwananchi kupata habari Ni Hali ya kikatiba wao hao wa me ji lockdown gizani hawataki habari zitoke
Hahaaaa CCM mko bize kufuatilia ya Chadema, subirini mtapewa jina la rais mtarajiwa.....

IMG_20200803_130610.jpg
 
Wakati Nyalandu anazunguka nchi nzima kusaka wadhamini Lisu alikuwa Ubelgiji, sasa mnashangaa nini Nyalandu kama ataibuka mshindi?

Wakati Nyalandu anauza Vitalu vya nchi akiwa kwenye kiyoyozi cha ccm, Lisu alikuwa anavipigania.
 
Lowassa hakuchaguliwa kwa kura hiyo rushwa alimpa nani?
Wewe acha izo mambo bhana kwani CHADEMA walikuwa hawana mgombea urais hadi wasubiri lowasa akwate ndio aje kugombea akili zake zikishakuwa za kibavicha huwa unaburuzwa tu sio shauri lako ni wale vijana wa ufipa kina mmawia wamekurukiza upofu.
 
CHADEMA imeanzishwa kwa ajili ya kutafuta pesa , ndio maana Dr. Slaa kapuku masikini akanyimwa kugombea urais akateuliwa tajiri Lowasa
Kwa wakati ule hata ningekuwa mm kiongozi wa upinzani ingekuwa ngumu kumkataa lowasa nje ya pesa alikuwa na ushawishi mkubwa sana Yani alikuwa anawafuasi wengi sana kivyvyte vile alikuwa silaha kubwa ndio maana wapinzani walipata viti vingi sana vya majimbo na madiwani kuwai tokea
 
Mbowe hawezi kukubali mgombea urais masikini kama Lisu, Chadema misingi yake ni ubepari kutafuta pesa lazima Nyalandu apitishwe, Nyalandu ni tajiri
Ccm misingi yake ni umasikini ndiyo maana mnapenda sana masikini waongezeke ili muendelee kula bure mema ya nchi
 
Back
Top Bottom