Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Hata iweje lazima Ulaya na Asian watutawale maana imeandikwa hivyo.Kigezo chako ni pesa za kampeni,, vipi Tanzania yetu?
Bara letu litaendelea kuendeshwa na mabara mengine kama tutaendelea na ubinafsi wa aina hii.
Nyalandu au Membe wa Act ni watu ambao watatubakisha kwenye business as usual.
hatutasonga popote,, tutajikuta tunashangilia tena uchumi wa kati kutoka matangazo ya world bank huku hali zetu zikiendelea kuwa duni.