Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa
Nyalandu anao wafadhili wa nje kibao tofauti na Lisu .Lisu hela za ndani hana na za nje hana .Hana wafadhili ni mzigo kwa chama.Slaa alijibeba wakati ule,kabla ya hapo Mbowe aligombea uraisi naye 2005 naye alijibeba kwa pesa zake,Akaja Lowasa 2015 akajibeba kwa pesa zake na safari hii Chadema hawezi weka mtu wa kubebwa wataweka anayejibeba kwa pesa zake.Ambaye hatasumbua chama wala wanachama,Kati ya hao wagombea watatu maskini pekee aliyepo kwenye hiyo list ni Tundu Lisu pekee.Huyo mama mumewe ni tajiri wa kufa mtu.
Nyalandu ubunge tu huendesha kampeni kwa helikopta.
Baraza kuu anashinda mapema asubuhi.Akisimama aweza hata asiongee maneno mengi anasema tu nipeni kura zenu anaenda kukaa kampeni alishamaliza kwa wajumbe alipozunguka nchi nzima kusaka wadhamini hapo wanaenda ku tick tu kuwa tunamtaka Nyalandu
kwenye hizo kura Lisu aweza shika nafasi ya tatu wa kwanza akiwa nyalandu wa pili huyo mama wa tatu akawa Lisu
Nyalandu yuko serious kugombea uraisi alikuwa hashindi facebook,twitter ,youtube na jamii forums kama Lisu alikuwa akienda moja kwa moja kwa wajumbe
Mcheki hapo akikata mbuga kutafuta wadhamini hakuchangiwa na mtu anajibeba mwenyewe hasumbui chama wala wanachama kama ambavyo Tundu LIsu hadi pesa ya fomu alitoa namba watu wachangie!!! Hela ya fomu tu hana ya kampeni atatoa wapi na chama hakina pesa
View attachment 1525564