Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

wewe jamaa mbona issue za lisu unazishadadia sana mzee? kuna nini
 
Basi kama vyama vya upinzani vinashindwa kuweka ilani inayoweza kushawishi wapigakura hawafai kuchukua nafasi ya uongozi
Acha upuuzi, kama unatangaza ilani na unashinda kisha CCM wanapora ushindi wewe kwa akili yako utaendelea kutangaza ilani au utapambania ushindi wako?
Lissu kajikita kuwaaminisha wafuasi wake kuwa wakiibiwa ushindi patachimbika.
That's how to deal with CCM and particularly Magufuli.
 
Hii ni Kweli?? 👇👇

*Matokeo ya kura Baraza Kuu:*

1. Tundu Lissu kura 415

2. Lazaro Nyalandu kura 36

3. Dk. Mayrose Majinge kura 1
 
Ukweli kwa 100%.
 
Magu atakuwa anacheka inhiiii[emoji3][emoji3],mmejipinda kutuchagulia " muhanga".yoyote tu aje...tunaburuza vibayaaa[emoji119][emoji119].CCM mbele kwa mbeleee[emoji928][emoji928]
 
Maswali ya kamati kuu yatakuwa

Lissu una sh ngapi za campaign? 15,000Tsh

Nyalandu una ngapi? 15bnTsh

Nyalandu atapewa tu

And that 15bn italiwa vizuri na mzee wa KIA na Nyagi
MATAGA hadi humu umo, hupitwi na pilau la CHADEMA?
WEwe wa kwenu si amejipitisha bila kupingwa baada ya kuchapisha fomu moja tu ya kugombea na yule aliyeomba hata soft copy aka-print akafukuzwa chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…