Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Chadema wanaakili kuliko mnavyodhani, wanajua lisu ndio kipenzi cha watz wote ikiwemo wa ccm, kesho ni kumpitisha tu.
 
Mtu akifanya vizuri awe upinzani lazima asifiwe

Hotuba ya Mbowe mpelekee chama tawala cha nchi yeyote duniani uone comments kila chama tawala kitaikubali

Naomba itafsiriwe kingereza na kifaransa na isambazwe kwa vyama vya upinzani duniani


Leo upo tofauti sana hadi nashangaa. Big up mkuu.
 
lisu ndio ni hopeless politician

wewe pia ni hopeless person vile vile kwa ulichoandika
 
You are hopeless indeed!
 
Mtu akifanya vizuri awe upinzani lazima asifiwe

Hotuba ya Mbowe mpelekee chama tawala cha nchi yeyote duniani uone comments kila chama tawala kitaikubali

Naomba itafsiriwe kingereza na kifaransa na isambazwe kwa vyama vya upinzani duniani
mimi kwa uzalendo wangu naomba hotuba ya Mbowe isisambazwe wala kutafsiriwa kiingereza na kifaransa, itamuaibisha sana mtu flani, pease please kuweni wasiri, mambo ya chumbani msitoe
 

Umejuaje anajibeba mwenyewe tu wakati hata hajapitishwa na chama, hajaanza kampeni?

Katika hatua hii ni kujitetea wewe binafsi kwanini uwe wewe na siyo wenzako...

Hili amelifanya kwa ukamilifu na kwa ufasaha na ndiyo maana anapata support kubwa toka kwa wafuasi wake ambamo ndani yao ndimo watakaptoka madiwani na wabunge....

Sasa wewe hoja yako inasimamia wapi?
 
Kuchagua Lissu kupeperusha bendera ni sawa na kucheza Kamari, TL hawezi kupita kwenye chujio la Tume ya Uchaguzi kwa vile hakidhi vigezo na masharti ya mgombea Urais JMT
Tuwekee hapa vivo vigezo kwa mujibu Wa katiba...
 
nimeomba matokeo nikapewa naona wameyafuta hata kabla sijampa asante aliyeniletea matokeo. alikuwa ameandika hivinkama sijakosea, Lissu 415, Nyalandu 36, Maryrose 1.

Huyo aliyefuta matokeo aeleze yana matatizo gani!
 
Update uzi au umelala mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…