Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Waelewane tu,waweke Tanzania mbele just once and for all.Membe atakubali? ACT watakubali? Hujui kwamba kura za Urais zinaambatana na ruzuku?
Nimeyaona mkuu Hongera kwa mgombea na huu ndiyo mwanzo mpya wa mapambano.Hayo ndiyo matokeo halisi mkuu tayari ishajulikanaView attachment 1526234
Nna furaha saana ila naamini kabisa sijafikia furaha yako.Hatimae yametimia.Hongera sana Lissu!
Kimenukaaa!Makamanda tutafute matambara, ndoo na sabuni za kupiga deki lami sasa. Wakati ndio huu tuliousubiri kwa hamu sana.
Membe akae tu pembeni, aunge juhudi za Lissu.Huku JPM,kule Membe huko Lissu mambo ni fireeee
Kumbuka chadema walidhamiria kumuua kisiasa ZittoWaelewane tu,waweke Tanzania mbele just once and for all.
Exactly, huwa ana ON-OFF "kichaa" fulani hivi! Kuna siku nilimgeuka kidogo kama unavyosema!Namkubali sana huyu Victoire ila kuna siku moja moja akisha vuta bangi zake anaamua kunitibua huwa namuangalia tu 😳 kwa jinsi ninavyomuheshimu sijawahi kumshukia lol!
Ouiiiiiii,Aki umenichekesha wewe.Nikivuta cha Arushaa eeeh.Binafsi leo nimefurahi sana na ninapenda Membe amwachie Lissu,kule visiwani wamwachie Maalim.Namkubali sana huyu Victoire ila kuna siku moja moja akisha vuta bangi zake anaamua kunitibua huwa namuangalia tu 😳 kwa jinsi ninavyomuheshimu sijawahi kumshukia lol!
nimeomba matokeo nikapewa naona wameyafuta hata kabla sijampa asante aliyeniletea matokeo. alikuwa ameandika hivinkama sijakosea, Lissu 415, Nyalandu 36, Maryrose 1.
Huyo aliyefuta matokeo aeleze yana matatizo gani!
Tatizo ni kufuatisha mtindo wa CCM kijinga jinga. Kwani lazima CDM ifanane na CCM? KIla kitu kamati kuu, vikao, nk. CDM haina template yake?
Membe akae tu pembeni, aunge juhudi za Lissu.
Huku JPM,kule Membe huko Lissu mambo ni fireeee
Ouiiiiiii,Aki umenichekesha wewe.Nikivuta cha Arushaa eeeh.Binafsi leo nimefurahi sana na ninapenda Membe amwachie Lissu,kule visiwani wamwachie Maalim.