Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

AMANDLA!

1596475924134.png
 
Attachments

  • Ed2iwyJX0AA_jMh.jpg
    Ed2iwyJX0AA_jMh.jpg
    25.5 KB · Views: 1
Namkubali sana huyu Victoire ila kuna siku moja moja akisha vuta bangi zake anaamua kunitibua huwa namuangalia tu 😳 kwa jinsi ninavyomuheshimu sijawahi kumshukia lol!
Exactly, huwa ana ON-OFF "kichaa" fulani hivi! Kuna siku nilimgeuka kidogo kama unavyosema!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Namkubali sana huyu Victoire ila kuna siku moja moja akisha vuta bangi zake anaamua kunitibua huwa namuangalia tu 😳 kwa jinsi ninavyomuheshimu sijawahi kumshukia lol!
Ouiiiiiii,Aki umenichekesha wewe.Nikivuta cha Arushaa eeeh.Binafsi leo nimefurahi sana na ninapenda Membe amwachie Lissu,kule visiwani wamwachie Maalim.
 
nimeomba matokeo nikapewa naona wameyafuta hata kabla sijampa asante aliyeniletea matokeo. alikuwa ameandika hivinkama sijakosea, Lissu 415, Nyalandu 36, Maryrose 1.

Huyo aliyefuta matokeo aeleze yana matatizo gani!

Lissu = 405
Nyalandu = 36
Maryrose = 1
 
Sidhani yule anausaka urais kwa udi na uvumba labda ahaidiwe cheo cha juu kabisa serikalini tena kwa maandishi ya kisheria

Nasubiria kuona kama nyalandu ataendelea kubaki au atamfata sumaye na lowassa
Membe akae tu pembeni, aunge juhudi za Lissu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Membe kama kweli anataka kuona anguko la nanihii ni bora tu akae pembeni amuache Lissu apambane. Atajizolea heshima kubwa sana kutoka kwa Watanzania wapenda haki na amani na katika Nchi nyingi duniani pia kama Lissu atashinda itamuweka katika nafasi nzuri sana ya kuchukua Umajaliwa.

Huku JPM,kule Membe huko Lissu mambo ni fireeee
 
hahahahahah lol! mie sikukatazi uvute ila ukishavuta usiingie humu 😛😛 Nami naomba hilo litokee sana kwamba Membe amuachie Lissu apeperushe bendera ya Wapinzani wa kweli.

Ouiiiiiii,Aki umenichekesha wewe.Nikivuta cha Arushaa eeeh.Binafsi leo nimefurahi sana na ninapenda Membe amwachie Lissu,kule visiwani wamwachie Maalim.
 
Tunataka uwanja sawa wa uwanja wa siasa..hiki ndicho kitakua kipimo chetu cha ustaarabu wetu. Ndicho kitakua kipimo chetu cha utu wetu . vyombo vyote vya dola ni mali ya wananchi si ya Chama chochote vitende haki sawia ili kodi zetu ziwe furaha yetu na sio huzuni yetu...
Neno Chama dola sio neno lenye kuvipa heshima vyombo vyetu mana havimilikiwi na dola Bali wananchi!!chonde chonde visikubali kutumika na wanasiasa .twende kweny kampeni tukiwa wamoja mana uchaguz ni kwa ajili yetu sote!!
Mungu bariki Tanzania na watu wake!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom