Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Yule mbaba shida sio anguko kuna kitu anakisaka ikulu 🤣 🤣 🤣
 
Reactions: BAK
mwaka huu ccm kazi mnayo maaana naona wagombea wote ni dam changa maana salum mwalim sio wa mchezo mchezo at,
bado mnyika do hapa mjipange uchaguzi huu sio lelemama yahan hakuna mteremko
 
Hahahahaha lol! TuombeMungu aweke mbele maslahi ya Tanzania na Watanzania ili afanye maamuzi MUBASHARA ya kukaa pembeni.

Yule mbaba shida sio anguko kuna kitu anakisaka ikulu 🤣 🤣 🤣
 
Mh Lissu amechaguliwa kuwa mgombea wa urais 2020 kupitia chadema.
Je yeye mwenyewe anacho kitambulisho cha kupigia kura
 
Sasa Zitto ana nini cha kuitisha cdm? Zitto kwenye siasa ni sawa na Azam fc kwenye soka maana hawana watu wa kuwasapoti
Kumbuka chadema walidhamiria kumuua kisiasa Zitto
 

Matokeo ya kura za wagombea Urais
(1) Tundu Lissu, kura 405
(2) Lazaro Nyalandu, kura 36
(3) Dk.Mayrose Majinge, kura 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…