Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Anachoomba Lissu ktk uchaguzi huu wa 2020 ni kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Na sio kuchagua, hivyo wenye vitambulisho vya kupigia kura watampigia na kisha ataapishwa kisheria kuwa Rais rasmi pindi akishinda na kutangazwa mshindi na Nec.
 
Tundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1

Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika

#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Nimpe hongera, kwa kuingia katika historia ya kushiriki uchaguzi mkuu ngazi ya Urais
What a remarkable memory 😂
 
Kilichobaki hapa ni Membe tu aache kugombea urais wamuachie Lissu,Kule visiwani wamwachie Maalim.Actually sina chama napenda Tanzania.
membe asome alama za nyakati abaki na cheo alichopewa na Zitto sisi Tunataka kupasua jiwe hapo October 28
 
Mbowe hawezi kukubali mgombea urais masikini kama Lisu, Chadema misingi yake ni ubepari kutafuta pesa lazima Nyalandu apitishwe, Nyalandu ni tajiri

Pole saana mkuu akili za Mataga huwa sizielewi kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwenyezi Mungu ni Mkubwa sana Sept 7, 2017 wengi tulilia sana lakini ndani ya hizi wiki mbili ametupa furaha kubwa sana. Sasa akamilishe furaha yetu October 28, 2020 kwa kuchukua Nchi.
Kabisa kabisa..... NI MWENDO WA KUVUNJA JIWE HAPO OCTOBER 28
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1

Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika

#NiYeye2020 #TunduLissu2020

Ndugu wanajamvi, hivi wenzangu mlijua kama Lissu angepita kwa kura nyingi namna hii? Sikudhani!

Hii tafsiri yake ni nini hasa katika uchaguzi wa wa tarehe 28/10/2020?
 
Back
Top Bottom