unaijua CHADEMA wewe? muadilifu dr. slaa alitupwa pembeni akateuliwa fisadi lowasa kugombea urais. CHADEMA wanachotaka ni pesa, hayo mambo ya kupendwa na watu sio kipaumbele chao!
ThibitishaCHADEMA imeanzishwa kwa ajili ya kutafuta pesa , ndio maana Dr. Slaa kapuku masikini akanyimwa kugombea urais akateuliwa tajiri Lowasa
HayawahusuMpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Acha kupotosha kama issue ni hela huyo Dr slaa aligombeaje 2010
Anaona aibu mipango yake yote ovu imefeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pindi unaposikia usiyempenda kaja tena View attachment 1525537
Tuambie miujiza ya lisu itakayotutoa hapa tulipoKigezo chako ni pesa za kampeni,, vipi Tanzania yetu?
Bara letu litaendelea kuendeshwa na mabara mengine kama tutaendelea na ubinafsi wa aina hii.
Nyalandu au Membe wa Act ni watu ambao watatubakisha kwenye business as usual.
hatutasonga popote,, tutajikuta tunashangilia tena uchumi wa kati kutoka matangazo ya world bank huku hali zetu zikiendelea kuwa duni.
Shida ya viongozi wa Chadema si kwenda Ulaya na Marekani, shida yao ni kuwatumikia wananchi.
Jibu ni TAL kama hutaki kunywa sumu.
Hivi kwanini ccm walizuia watu wasichukue form?Waache kumpendelea TL uchaguzi uwe huru na haki kwa wote
Mlituaminisha kuwa mbowe kamuuzia chama lowasa. Swali je, lowasa alirudishiwa pesa zake kabla ya kurudi ccm au bado ni mmiliki wa chama? kama ndiye mmiliki wa chama iweje useme kuwa mbowe hawezi mkubali tundu lissu wakati yeye mbowe sio mmiliki wa chama.Mbowe hawezi kukubali mgombea urais masikini kama Lisu, Chadema misingi yake ni ubepari kutafuta pesa lazima Nyalandu apitishwe, Nyalandu ni tajiri
Kukubalika na mataifa makubwa muhimu .Sasa kama ni kutumikia watanzania Lisu alikuwa akienda kubweka nje ya Tanzania ulaya na marekani mambo ya Tanzania kwani ulaya na marekani ni watanzania?Shida ya viongozi wa Chadema si kwenda Ulaya na Marekani, shida yao ni kuwatumikia wananchi.
Jibu ni TAL kama hutaki kunywa sumu.
.Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Wewe jamaa kw hyo sifa ya ushindi kwa Hao watatu ni kuwa na pesa tu?kwa hyo CCM walivompitisha mgombea wao kigezo kilikua pesa? Mbongo zilizojaa kamasi hizi zinatema kamasi humu!!!Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Humu kuna watu wanandk utafikili wanadhani wasomaj wengi ni vilaza. Hivyo wanajitahidi kuonyesha udhaifu wao wa uelewa...hapa kwenye andishi lako umeonyesha Hilo. Tafakur kuhusu nyakat tulizonazo tafakar kuhusu uelewa wa wananchi wengi.!!acha uvyama ongelea uhalisia wa hali ilivyo!!Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa
Nyalandu anao wafadhili wa nje kibao tofauti na Lisu .Lisu hela za ndani hana na za nje hana .Hana wafadhili ni mzigo kwa chama.Slaa alijibeba wakati ule,kabla ya hapo Mbowe aligombea uraisi naye 2005 naye alijibeba kwa pesa zake,Akaja Lowasa 2015 akajibeba kwa pesa zake na safari hii Chadema hawezi weka mtu wa kubebwa wataweka anayejibeba kwa pesa zake.Ambaye hatasumbua chama wala wanachama,Kati ya hao wagombea watatu maskini pekee aliyepo kwenye hiyo list ni Tundu Lisu pekee.Huyo mama mumewe ni tajiri wa kufa mtu.
Nyalandu ubunge tu huendesha kampeni kwa helikopta.
Baraza kuu anashinda mapema asubuhi.Akisimama aweza hata asiongee maneno mengi anasema tu nipeni kura zenu anaenda kukaa kampeni alishamaliza kwa wajumbe alipozunguka nchi nzima kusaka wadhamini hapo wanaenda ku tick tu kuwa tunamtaka Nyalandu
kwenye hizo kura Lisu aweza shika nafasi ya tatu wa kwanza akiwa nyalandu wa pili huyo mama wa tatu akawa Lisu
Nyalandu yuko serious kugombea uraisi alikuwa hashindi facebook,twitter ,youtube na jamii forums kama Lisu alikuwa akienda moja kwa moja kwa wajumbe
Mcheki hapo akikata mbuga kutafuta wadhamini hakuchangiwa na mtu anajibeba mwenyewe hasumbui chama wala wanachama kama ambavyo Tundu LIsu hadi pesa ya fomu alitoa namba watu wachangie!!! Hela ya fomu tu hana ya kampeni atatoa wapi na chama hakina pesa
View attachment 1525564
Huyo Lowassa mnaye wenyewe huku mkimtusi kama fisadi na mtoa rushwa?Kama ni fisadi,je hilo limehalalishwa huko CCM Mpya?unaijua CHADEMA wewe? muadilifu dr. slaa alitupwa pembeni akateuliwa fisadi lowasa kugombea urais. CHADEMA wanachotaka ni pesa, hayo mambo ya kupendwa na watu sio kipaumbele chao!
Hakuna wakukata jina la Lisu, hawawezi kujaribu kama japo wana akili.Ninasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Hatuhitaji mgombea mwenye historia na u ccm , tunamuhitaji Lisu tu, hata useme wamuweke Mbowe hatukubali na CDM wakitaka chama kife wasimpitishe Lisu awamu hii wataona. Heri tushindwe tukiwa na Lisu kuliko takataka yeyote.Nyalandu ana uwezo mkubwa wa kufight na Jiwe japo hawez kumshinda, ana uwezo wa kujenga hoja ,Lissu hawezi aisee ,mpak sasa kuna makundi mawili yenye mtazamo tofaut kwa Lissu , kundi moja linamuona kama msaliti ( miyeyusho) , kundi jingine linamkubali , mi vigumu kwa Lissu kuliaminisha kundi linalomponda ambali ndo wengi .....maoni yangu Lissu na nyalandu watengeneze umoja , wapige kampeni ya kibabe , angalau wanaweza kumtikisa Jiwe pakubwa , ila kumng'oa hiyo haipo