Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.

Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.

Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.

Maendeleo hayana vyama!
 
Phd anashindwaje kuijua Lugha ya Kiingereza? Waliomtangulia hawakuwa na Phd lakini kutema YAI kama KAWA siye huyu hata kusafiri Nchi za nje anaogopa!!! Mwaka wa nne huu hajatia mguu Umoja wa Mataifa pale New York
 
Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.

Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.

Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.

Maendeleo hayana vyama!
Kamuulize Ngeleja kwanza wamebaragazwa na std vii wako wasomi wa kutosha kabla hujauliza kwa mtani wako.
 
Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.

Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.

Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.

Maendeleo hayana vyama!

To me, childish question
 
Akae mstari wa mbele tu, sio kuwatanguliza wasiojitambua.
Kwani umejisahaulisha kuhusu ile kesi "watu waliuwa mwanafunzi" na waliofunguliwa kesi wakawa viongozi wa Chadema Je walikuwa mstari wa nyuma? Kama hawakuhusika na maandamano yale ina maana walionewa au sio mkuu?
 
Sasa historia ya taifa inaenda kubadilika

Wakulima tundu lisu
Walimu tundu lisu
Polisi tundulisu
Wafanyabiashara tundu lisu
Viongozi wa dini tundu lisu

Ongezeeaaaaa

Dikteta tupa kuleeeeee
 
Back
Top Bottom