johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa....... Takukuru lazima watembelee hapo Ufipa!Leo utalala na viatu nyang'au wewe. Lissu ashaandaa nyundo ya kulipasulia jiwe la tumbawe.
Kamuulize Ngeleja kwanza wamebaragazwa na std vii wako wasomi wa kutosha kabla hujauliza kwa mtani wako.Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.
Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.
Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.
Maendeleo hayana vyama!
Dah hapa Meko alizingua sana aisee.Phd anashindwaje kuijua Lugha ya Kiingereza? Waliomtangulia hawakuwa na Phd lakini kutema YAI kama KAWA siye huyu hata kusafiri Nchi za nje anaogopa!!! Mwaka wa nne huu hajatia mguu Umoja wa Mataifa pale New York.
Za kutosha!Ulitaka apate kura ngapi?
Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.
Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.
Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.
Maendeleo hayana vyama!
To me, childish question
Lakini hata hiyo moja aliyoipata si inatosha?Za kutosha!
Kura moja iliyoenda shule!Lakini hata hiyo moja aliyoipata si inatosha?
Hiyohiyo moja inatosha kama ni kwa ajili ya maslahi ya wengi.Kura moja iliyoenda shule!
Nimekuelewa bwashee!Hiyohiyo moja inatosha kama ni kwa ajili ya maslahi ya wengi.
Kwani umejisahaulisha kuhusu ile kesi "watu waliuwa mwanafunzi" na waliofunguliwa kesi wakawa viongozi wa Chadema Je walikuwa mstari wa nyuma? Kama hawakuhusika na maandamano yale ina maana walionewa au sio mkuu?Akae mstari wa mbele tu, sio kuwatanguliza wasiojitambua.
Matokeo umeyaonaje...?Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu