Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Ni kweli sababu nchi yote ya Zanzibar walitakiwa kwenda Unguja kuaga. Hivyo mikoa yote ya Zanzibar na pemba watu walienda kuaga kaagwa na asilimia 80 ya wakazi wote wa nchi ya Zanzibar ambao ni milioni moja na laki tano
 
Mwandishi anaonesha kuna kitu alitamani wasomaji tukielewe lakini mtiririko wa mantiki ukamuacha pasi kujua habari inaelea elea.

Pumzika kwa amani JPM.
 
Hivi na mjane wa marehemu wanavyompeleka peleka kila sehemu wanamlipa? Kwanini wasimpeleke Chato asubiri siku ya mazishi?
Ndo gharama za kuwa Festi Ledi. When you pray for the rain you gotta deal with the mud too
 
Naomba nitoe ufafanuzi tumepitia Post mbali mbali hapa kwenye jukwaa tumeona watu wengi wakihojii kwanini hatumpumzishi mpendwa wetu...
Utopolo huu.

Na wewe unajiita great thinker? Kichwa kimejaa udini tu
 
Eeee Mungu tazama hiki kizazi kinavyosifu Msafara wa mtu aliefariki...halafu watu wakifurahi kwa sababu kafa magufuli munawakamata nyie hizi munazofanya sio sifa au sio sherehe kusherehekea watu wamejitokeza kila sehemu kulipotu?
Kaa kimya wewe!! Haujawahi kusoma kisa cha Dorcas wa Biblia wewe!!
 
Unemployment Zanzibar ni 70% hivi utakosa washangaaji?
Zanzibar haeayegemei ajira wewe kule asilimia 99 hupenda biashara .Wanaongoza kujiajiri sekta binafsi .Ukiuliza Tanzania nzoma nani wanaongoza kujiajiri sekta binafsi ni wazanzibari
 
Firauni kutokana na umaarufu wake, alikaushwa ili asioze na mpaka sasa mwili wake upo Misri sehemu maalumu.
 
Back
Top Bottom