Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sana , wakati huo nitakuwa mbunge wa KyelaNikiona posts zako November 2025 nitakukumbusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana , wakati huo nitakuwa mbunge wa KyelaNikiona posts zako November 2025 nitakukumbusha.
Atarudishwa bungeni !apotee mara ngapi na ameshapotea
Solution ya Uchaguzi huru ni kuruhusu mgombea binafsiKama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.
BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.
MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
NAYE ATAIBIWA KURASolution ya Uchaguzi huru ni kuruhusu mgombea binafsi
Hakuna Mgombea yoyote wa Chadema wa kuogopewa na CCM huku Tanganyika Labda wale wagombea wa ACT wazalendo Kule PembaNo way Nusu mkate ni lazima watapewa wale ambao wanaogopewa kwa influence zao kwa wapiga kura !!
Kwani majimbo ndiyo yanayotangaza matokeo au ni just mukubwa mmoja aliyepewa mamlaka hayo ?!
Na sioni anawezaje kukaidi agizo 😅🙏🙏
R.I.P and welcome back again,I need not learn from you anyway if your arguments are presented in that thinking and reasoning! Kuna wana CCM wengi humu we do discuss issues based on logic, intuition, reasoning, and the like! Lakini unapoona mtu analeta uchawa, you need not waste time and MBs!
Have a nice day and enjoy your JF discussions!
Ngoja tuone !Hakuna Mgombea yoyote wa Chadema wa kuogopewa na CCM huku Tanganyika Labda wale wagombea wa ACT wazalendo Kule Pemba
Hivi katiba ikipatikana CCM ndiyo wataacha kuiba kura?Kama CCM wataamua kuiba na kulindwa na bunduki za polisi Chadema watafanya nini?
Kama kipo watachofanya ni kujitoa mhanga, wawe tayari kupata majeraha au hata kuumizwa zaidi kuipigania haki yao.
Walishindwa kuhimiza upatikanaji wa Katiba Mpya kwa wakati, wakadanganywa na maridhiano, walivyoshtuka maridhiano ni kupotezeana muda wakaona wadai Tume Huru, lakini nayo wamekuja kuona haiwezi kupatikana wakaamua kuingia kwenye uchaguzi kwa sheria mbovu zilizopo.
Wakiamini watajilinda au watalindwa na wapiga kura wao, hii kamari waliyoamua kuicheza inataka moyo, inawalazimu wawe tayari kwa lolote kwasababu kati yetu hayupo asiyezijua tabia za CCM kwenye uchaguzi, hawawezi kubadilika kisa Samia yupo madarakani.
Ninauhakika wewe shoga huwezi kupiga hata push ups 3 achilia mbali kurusha hata ngumi.Huyo anaedai ataingia msituni Nampa tahadhari
Atatoa mavi kwa koromeo kama wale Magaidi wenzie wa kibiti
Kila la kheri, mkuu.Karibu sana , wakati huo nitakuwa mbunge wa Kyela
Unamsemea nani waliokubali kushindwa?,Nkanini ni wa push back na acha upumbavu wa kunisemea mimi ,jisemee mwenyeweTukubali kushindwa
Mpumbavu wa middle class unayejiona upo bora kisa mtoto wako anasoma English medium school,ccm ni political party sio dola!!,unathibitisha hapa kuwa ccm bila polisi ni wepesiwalau mjitahidi pia kubadili sababu nyingine za kushindwa uchaguzi ndrugu zango, sasa zile zile miaka nenda miaka rudi 🐒
Ifike mahali tu kubalini tu kwamba hamkubaliki kwa wapiga kura, kwan Lazima 🐒
mkileta fujo mnakamatwa unafungiwa selo wengine na mambo mengine yanaendelea kwa haki, amani na uhuru 🐒
kwamba unadhani ukitoka selo baada ya kutiwa nguvuni watu hawatajua utasema nini ukiachiwa huru?
Ni useless kabisa 🐒
Anasema anafanya siasa kama ulaya.Shida kubwa ya bwana kabwe( licha ya kuondoka Kwa mchongo) ni msalti wenzake wanaongoza mapambano ya kuhakikisha mambo yanawekwa sawa yeye na watu wake wanakwamisha..
Note: kwenye siasa hakuna urafiki zito na viongozi wake walijue hili..
Pengine ungetaja Chama cha watu wenye akili. CHADEMA wamepewa hela ya kuutukana uchaguzi wa 2020 kwa ahadi ya Nusu Mkate. Kinana kawadanganya eti uchaguzi utakuwa shwari ili Samia ashindwe na wao wanakenua meno.Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.
BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.
MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
relax bas na utoe hoja taratibu na kwa staha...Mpumbavu wa middle class unayejiona upo bora kisa mtoto wako anasoma English medium school,ccm ni political party sio dola!!,unathibitisha hapa kuwa ccm bila polisi ni wepesi
Hakuna mpiga kura mpumbavu wa kukubali kupigwa, kufungwa, kujeruhiwa ama kuuawa kwa sababu ya mbunge ama diwani ambaye akibanwa ama akishawishiwa na ccm anaunga mkono juhudi.Wakiamini watajilinda au watalindwa na wapiga kura wao,
Kwani mbinu za kijeshi huwa zinawekwa hadharani?Jina tu unatumia Id feki hapa
Jitokeze koromeo liwe mapovu
Wazee wa keyboard
John, huwa huna akili hata kidogo. Uchawa umekuzidi....... If that is the case, kwanini mnakataa ume huru? Washeikh, Maaskofu NGOs na woooooooooooooooooooooooote wamependekeza tume huru, ni nyinyi tu mnaikataa, WHY? KAMA SIYO WOGA WA KUNGATULIWA MADARAKANI?Hakuna Mgombea yoyote wa Chadema wa kuogopewa na CCM huku Tanganyika Labda wale wagombea wa ACT wazalendo Kule Pemba