Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

apotee mara ngapi na ameshapotea
Atarudishwa bungeni !
So atakuwa bado hajapotea !
Na kama alikuwa na madeni yatakuwa solved !
Nusu mkate ! Politics is a game of chance !
Mimi ndio nilipotezwa !! 🙏🙏🙏
 
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.

BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.

MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Solution ya Uchaguzi huru ni kuruhusu mgombea binafsi
 
No way Nusu mkate ni lazima watapewa wale ambao wanaogopewa kwa influence zao kwa wapiga kura !!

Kwani majimbo ndiyo yanayotangaza matokeo au ni just mukubwa mmoja aliyepewa mamlaka hayo ?!
Na sioni anawezaje kukaidi agizo 😅🙏🙏
Hakuna Mgombea yoyote wa Chadema wa kuogopewa na CCM huku Tanganyika Labda wale wagombea wa ACT wazalendo Kule Pemba
 
mimi nawaachia wananchi, wakisema "bado" sawa tu, wakisema "muda ni sasa" sawa tu
 
I need not learn from you anyway if your arguments are presented in that thinking and reasoning! Kuna wana CCM wengi humu we do discuss issues based on logic, intuition, reasoning, and the like! Lakini unapoona mtu analeta uchawa, you need not waste time and MBs!

Have a nice day and enjoy your JF discussions!
R.I.P and welcome back again,
utakapo pata relief ya magubu na muhemko, na kua na uwezo wa kuishi katika free mind on spheres of Resilience, Reconciliation, Reforms, Rebuilding....
 
It’s enough for the people to know there was an election ! !
 
Kama CCM wataamua kuiba na kulindwa na bunduki za polisi Chadema watafanya nini?

Kama kipo watachofanya ni kujitoa mhanga, wawe tayari kupata majeraha au hata kuumizwa zaidi kuipigania haki yao.

Walishindwa kuhimiza upatikanaji wa Katiba Mpya kwa wakati, wakadanganywa na maridhiano, walivyoshtuka maridhiano ni kupotezeana muda wakaona wadai Tume Huru, lakini nayo wamekuja kuona haiwezi kupatikana wakaamua kuingia kwenye uchaguzi kwa sheria mbovu zilizopo.

Wakiamini watajilinda au watalindwa na wapiga kura wao, hii kamari waliyoamua kuicheza inataka moyo, inawalazimu wawe tayari kwa lolote kwasababu kati yetu hayupo asiyezijua tabia za CCM kwenye uchaguzi, hawawezi kubadilika kisa Samia yupo madarakani.
Hivi katiba ikipatikana CCM ndiyo wataacha kuiba kura?
Mbona kipindi cha mwendazake katiba haikufuatwa na hakuna hatua zozote alizochukuliwa.
Tatizo mnafikiri ni jukumu la Chadema kudai katiba hivi kama wananchi hawaitaji katiba chadema wafanye nini?
Nchi yetu bado inatakiwa kuendelea na mfumo wa chama kimoja mpaka wananchi tutakapoamka
 
Huyo anaedai ataingia msituni Nampa tahadhari

Atatoa mavi kwa koromeo kama wale Magaidi wenzie wa kibiti
Ninauhakika wewe shoga huwezi kupiga hata push ups 3 achilia mbali kurusha hata ngumi.

Umeandika ulichoandika kwasabababu wewe binafsi huwezi lolote unachowaza kwenye bichwa lako polisi wenye silaha ndiyo watatumiwa kudhihiti chadema.

Bisha niweke picha zako ukiliwa 0.
 
walau mjitahidi pia kubadili sababu nyingine za kushindwa uchaguzi ndrugu zango, sasa zile zile miaka nenda miaka rudi 🐒

Ifike mahali tu kubalini tu kwamba hamkubaliki kwa wapiga kura, kwan Lazima 🐒

mkileta fujo mnakamatwa unafungiwa selo wengine na mambo mengine yanaendelea kwa haki, amani na uhuru 🐒

kwamba unadhani ukitoka selo baada ya kutiwa nguvuni watu hawatajua utasema nini ukiachiwa huru?
Ni useless kabisa 🐒
Mpumbavu wa middle class unayejiona upo bora kisa mtoto wako anasoma English medium school,ccm ni political party sio dola!!,unathibitisha hapa kuwa ccm bila polisi ni wepesi
 
Shida kubwa ya bwana kabwe( licha ya kuondoka Kwa mchongo) ni msalti wenzake wanaongoza mapambano ya kuhakikisha mambo yanawekwa sawa yeye na watu wake wanakwamisha..
Note: kwenye siasa hakuna urafiki zito na viongozi wake walijue hili..
Anasema anafanya siasa kama ulaya.
 
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.

BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.

MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Pengine ungetaja Chama cha watu wenye akili. CHADEMA wamepewa hela ya kuutukana uchaguzi wa 2020 kwa ahadi ya Nusu Mkate. Kinana kawadanganya eti uchaguzi utakuwa shwari ili Samia ashindwe na wao wanakenua meno.

Salama ya CHADEMA ni Mbowe kukaa pembeni
 
Mpumbavu wa middle class unayejiona upo bora kisa mtoto wako anasoma English medium school,ccm ni political party sio dola!!,unathibitisha hapa kuwa ccm bila polisi ni wepesi
relax bas na utoe hoja taratibu na kwa staha...

nachokiona ni muhemko na ghadhabu tu....

kua muungwana tu kama binadamu kwamba vitu fulani huna...
 
Wakiamini watajilinda au watalindwa na wapiga kura wao,
Hakuna mpiga kura mpumbavu wa kukubali kupigwa, kufungwa, kujeruhiwa ama kuuawa kwa sababu ya mbunge ama diwani ambaye akibanwa ama akishawishiwa na ccm anaunga mkono juhudi.

Kwa ulaghai wa huyu mama tutarajie chadema kupata wabunge 2 tu kwa hisani ya ccm wenyewe.
 
Hakuna Mgombea yoyote wa Chadema wa kuogopewa na CCM huku Tanganyika Labda wale wagombea wa ACT wazalendo Kule Pemba
John, huwa huna akili hata kidogo. Uchawa umekuzidi....... If that is the case, kwanini mnakataa ume huru? Washeikh, Maaskofu NGOs na woooooooooooooooooooooooote wamependekeza tume huru, ni nyinyi tu mnaikataa, WHY? KAMA SIYO WOGA WA KUNGATULIWA MADARAKANI?
 
Back
Top Bottom