ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Umekutana na muuzajiSidhani. Japo yule mtoto alikua na iphone ila naamini si wewe
πππkujuana sana ni dhambi au ni makosa?Sasa mbona mnajuana sana
Hakika inawezekana mkuu ila alitumia nguvu kupitiliza, mambonyale alipaswa kuwafanyia age mates wake.Umekutana na muuzaji
Ahahahaha. Unaweza hisi ni mkosi labdaSiye tunawakimbia
wewe wanak ukimbilia.
Kuiona kasha kwahitaji mapambano haswaa.
π
We mkubalie tu kwamba tushakulana boss!kwan zitapungua kilo ngapi?πππkujuana sana ni dhambi au ni makosa?
Hajui kwamba we ni boss wangu katika mipango ya maendeleo wewe ni jiwe la msingi ππ? Anawaza kulana tu.heeeee
Ni pesa inatafutwa wala sio nyegeHakika inawezekana mkuu ila alitumia nguvu kupitiliza, mambonyale alipaswa kuwafanyia age mates wake.
Siku hizi wapo wa kum waga sheikh.Ahahahaha. Unaweza hisi ni mkosi labda
Umenena vyema chief, ni kwel kabisaSiku hizi wapo wa kum waga sheikh.
Yaani ukitaka kuishi maisha marefu na matamu ni kuishi nao kwa kiasi
Bas hilo la pesa ni tatizo ambalo hata mimi ninaloNi pesa inatafutwa wala sio nyege
AHahahah.Kiukweli kaka umeniudhi! Binti hajakutajia miaka yake, wewe umekimbilia huku kuandika ni mtoto wa elfu 2
Usiwaonee wadogo zetu.
Zinasababishwa na vitu vingi ila moja wpo ni matumizi ya cosmetics. Ujue kuna sehemu za mwil huwa hazi change ,zinagima kabisa, hata ziki badilika ni kwa muda tu hurud kwenye asili yake.Girls hizo sugu za mikononi hua zinatokanaga na nini kwaniππ
si ndo alichokifata huku πππko anaona wote wanakulana tuπHajui kwamba we ni boss wangu katika mipango ya maendeleo wewe ni jiwe la msingi ππ? Anawaza kulana tu.
Sio kweli! Kuna wengine hawatumii vipodozi lakini wana suguZinasababishwa na vitu vingi ila moja wpo ni matumizi ya cosmetics. Ujue kuna sehemu za mwil huwa hazi change ,zinagima kabisa, hata ziki badilika ni kwa muda tu hurud kwenye asili yake.
Sehem hizo ni kama
- maungio ya vidole
- magoti
- ugoko
- viwiko/vipepsi.
Hata ujichubue namna gan hizo parts utadunda tu