kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Thread ifungwe hiii, asante π―Huyo toka anakukopa alishajua hatokulipa yani alishapiga hesabu zake vizuri tu
So uamue ule mzigo upate nusu hasara au umtose na ela usamehe ila hiyo ela hakulipi ng'o!
Yani imeisha hiyo!
Ebhana ee hapo pesa tamu papucha tamu sasa dah!!! πsikushauri uache hiyo papuchi na sikushauri uache hela yako nipo katikati mkuu
πππsii uungwana kabisa kukopesha mwanamke aiseeπchenga nyingi....
acha tu....πππ
akipata atamlipa saizi hanaπacha tu....
afu sasa mna madharau mnaanza kusema 'elf50 tu??' 'si uniachie??'akipata atamlipa saizi hanaπ
huyo atakua anafail sasa, elfu50 tu? ye alikua nayo πππafu sasa mna madharau mnaanza kusema 'elf50 tu??' 'si uniachie??'
hizi jinsia mbili kukopeshana, ni matatizo kwelikwelihuyo atakua anafail sasa, elfu50 tu? ye alikua nayo πππ
mbona sisi kwa sisi tunalipana lakinihizi jinsia mbili kukopeshana, ni matatizo kwelikweli