kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
sikushauri uache hiyo papuchi na sikushauri uache hela yako niko pale nimekaa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread ifungwe hiii, asante 💯Huyo toka anakukopa alishajua hatokulipa yani alishapiga hesabu zake vizuri tu
So uamue ule mzigo upate nusu hasara au umtose na ela usamehe ila hiyo ela hakulipi ng'o!
Yani imeisha hiyo!
Ebhana ee hapo pesa tamu papucha tamu sasa dah!!! 😂sikushauri uache hiyo papuchi na sikushauri uache hela yako nipo katikati mkuu
😂😂😂sii uungwana kabisa kukopesha mwanamke aisee😂chenga nyingi....
acha tu....
akipata atamlipa saizi hana😅acha tu....
afu sasa mna madharau mnaanza kusema 'elf50 tu??' 'si uniachie??'akipata atamlipa saizi hana😅
huyo atakua anafail sasa, elfu50 tu? ye alikua nayo 😏😂😂afu sasa mna madharau mnaanza kusema 'elf50 tu??' 'si uniachie??'
hizi jinsia mbili kukopeshana, ni matatizo kwelikwelihuyo atakua anafail sasa, elfu50 tu? ye alikua nayo 😏😂😂
mbona sisi kwa sisi tunalipana lakinihizi jinsia mbili kukopeshana, ni matatizo kwelikweli