Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Tunaitaga "Madeni mabaya" yakivika siku 30-90..yanakuwa "Madeni chechefu" yakivika 120-360 yanakuwa MADENI SUGU..unatenga tu kuwa ni hasara ..siku yakilipwa yanakuwa KIPATO...Ulimkopesha ina maana we ni benki ya mikopo?
Ikiwa sivyo achana naye tu hesabu kuwa hiyo hela ulitoa sadaka.
Kumbuka kiendacho kwa mganga hakirudi
huyu ni bad debtor ananilazimisha nimuhamishie kwenye list ya bad debts written offTunaitaga "Madeni mabaya" yakivika siku 30-90..yanakuwa "Madeni chechefu" yakivika 120-360 yanakuwa MADENI SUGU..unatenga tu kuwa ni hasara ..siku yakilipwa yanakuwa KIPATO...
nyie kwa nyie si mnaelewana....mbona sisi kwa sisi tunalipana lakini
amna kukaza tunyie kwa nyie si mnaelewana....
sasa we imagine umemkopesha mwanaume, utamkaziaje?? na sisi tukiwakopesha inakua kama hivo.....amna kukaza tu
me nadai vizuri tu, kama nilikukopesha utalipa labda iwe nilikupa😶sasa we imagine umemkopesha mwanaume, utamkaziaje?? na sisi tukiwakopesha inakua kama hivo.....
Kwanza wanaume hatudaianagi...... Sikumbuki kumdai au kudaiwa na msela.. akiapa atanipa ..nikipata Nampa hivyo yanisasa we imagine umemkopesha mwanaume, utamkaziaje?? na sisi tukiwakopesha inakua kama hivo.....
tunaongea tu hapa, mwanaume anamchukulia mwanamke kua dhaifu na mwepesi, mwanamke anamchukulia mwanaume kua ni rahisi kushawishika, ndo maana kwenye kukopeshana zinatokea drama....me nadai vizuri tu, kama nilikukopesha utalipa labda iwe nilikupa😶
kabisa, hamna kudai... ukiona amekausha sana unamshtua tu 'oya nisave buku kadhaa' kama hivo....Kwanza wanaume hatudaianagi...... Sikumbuki kumdai au kudaiwa na msela.. akiapa atanipa ..nikipata Nampa hivyo yani
sio na mimi ninavyojua kunyanyasa, kwanza nikikukopesha hua nataka ujicommit mwenyewe utanipa lini saangapi, baada ya hapo kama hujanipa ukubali tu manyanyasotunaongea tu hapa, mwanaume anamchukulia mwanamke kua dhaifu na mwepesi, mwanamke anamchukulia mwanaume kua ni rahisi kushawishika, ndo maana kwenye kukopeshana zinatokea drama....
kweli utaweza kumnyanyasa mwanaume aliyeshiba??😂sio na mimi ninavyojua kunyanyasa, kwanza nikikukopesha hua nataka ujicommit mwenyewe utanipa lini saangapi, baada ya hapo kama hujanipa ukubali tu manyanyaso
namkopesha ninayemuweza😂😂😂kweli utaweza kumnyanyasa mwanaume aliyeshiba??😂
labda unajua kukaza sura, sijawahi kukuona kwahiyo sijui 😂namkopesha ninayemuweza😂😂😂
amna, unakua tu serious hamna kuchekacheka 😂labda unajua kukaza sura, sijawahi kukuona kwahiyo sijui 😂
ikiwezekana nitakukopa nitest mitambo 😂amna, unakua tu serious hamna kuchekacheka 😂
inategmea na shida yenyewe hadi nikupe hiyo hela, me jibu langu huwa ni moja tu "SINA" basi😎ikiwezekana nitakukopa nitest mitambo 😂
Wewe umesema familia yao ni family friend tangu utotoni na umeona wazi hana uwezo wa kukulipa bado ametumia busara akulipe penzi maana ndicho alichinacho unakataa halafu unakuja kumkashifu hapa! Kama hutaki kulipwa penzi msamehe na mwambie nimekusamehe. Mbona kuna wanaume wanakopa na kushindwa kulipa? Sasa kama biashara ilienda kinyume na matarajio yeye afanyaje?Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends.
Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja na kwamba tuna uhusiano mzuri tu nikaona nimpe.
So guys hii pesa aliniambia atanirudishia ndani ya wiki 2, wiki ya tatu namcheki kiswahili, mwezi namcheki kiswahili, wiki ya sita hivyo hivyo tu yani hadi sasa nimeweza kukomboa elf 50 tu.
Kinachoendelea hadi sasa anatumia nguvu kubwa sana kujenga mazingira ya kunitega niingie nae kwenye penzi tena kwa mtego wa kumalizana nae kwa game 2 ama 3.
vituko ni vingi alianza kunichatisha sana whatsapp na akawa ananiambia anapenda aje awe na mwanaume mwenye sifa ambazo akizitaja najiona mimi kabisa ila nilichomoa.
hapo juzi natoka nyumbani na kigari changu naenda shughuli zangu namuona hatua chache mbele ni kama alitega kabisa, basi nikampa lift akawa ananiangalia sana ila mimi nimefocuss na barabara radio nikiwa nimeifungulia nasikiliza habari, alipunguza sauti na kuniambia siku yoyote wiki hii atanipa ila why naona aibu hata kumuangalia, nilimwambia inabidi niwe makini barabarani, story zingine zikaendelea mpaka nilipomshusha.
jioni yake nilitahamaki sana message ndefu kidogo nayoweza kuisummarize kwamba yeye alikuwa ananipenda sana tangu shuleni ila sikuwa rijali kuweza kumu approach, yani huyu mwanamke!!
Nami kwa mbali nilitaka nipime kina nilipima kidogo sana kwa mtego kabisa dah!! akaanza kuniambia "nakuhitaji uwe ndani yangu sijiwezi nguvu sina" kumwambia ndani kivipi akaanza kuniambia "hivi huo uume wako unafanya kazi ?", nilibaki nastaajabu tu kupatwa na kiburi kwamba huyu kanidharau wacha nimnyooshe lakini nikifikiria naona wazi kabisa nikimlamba nae deni limemalizika.
Jamani!! Najua humu kwa wengine hii ni pesa ya chai lakini binafsi hii laki mbili siwezi kuichukulia poa, Nakazia hapa hapa tu, kama ni game naweza kuipata muda wowote ni ishu ya kutuma hela ya nauli tu.