Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

Mama Rwakatare (the late) aliwahi kusema kwenye “Marriage revival “

Mwanamke kama una shida ya hela au chochote usimuombe mume wa mtu, kama kweli una nia njema na kwamba iwapo huna nia ya kutaka huyo Mwanaume akutongoze (kumtega) kamuombe mke wa huyo mume aongee na mume wake akusaidie[emoji108][emoji108]
 
Ulimkopesha ina maana we ni benki ya mikopo?

Ikiwa sivyo achana naye tu hesabu kuwa hiyo hela ulitoa sadaka.

Kumbuka kiendacho kwa mganga hakirudi
Tunaitaga "Madeni mabaya" yakivika siku 30-90..yanakuwa "Madeni chechefu" yakivika 120-360 yanakuwa MADENI SUGU..unatenga tu kuwa ni hasara ..siku yakilipwa yanakuwa KIPATO...
 
me nadai vizuri tu, kama nilikukopesha utalipa labda iwe nilikupa😶
tunaongea tu hapa, mwanaume anamchukulia mwanamke kua dhaifu na mwepesi, mwanamke anamchukulia mwanaume kua ni rahisi kushawishika, ndo maana kwenye kukopeshana zinatokea drama....
 
tunaongea tu hapa, mwanaume anamchukulia mwanamke kua dhaifu na mwepesi, mwanamke anamchukulia mwanaume kua ni rahisi kushawishika, ndo maana kwenye kukopeshana zinatokea drama....
sio na mimi ninavyojua kunyanyasa, kwanza nikikukopesha hua nataka ujicommit mwenyewe utanipa lini saangapi, baada ya hapo kama hujanipa ukubali tu manyanyaso
 
Actually,huenda kweli asikulipe hio pesa kulingana na namna unavyoidai!!!...pima kama ana uwezo na nia ya kukulipa,na kama hana basi samehe au na wew umtafune kupooza machungu japo 250k sio padogo
 
Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends.

Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja na kwamba tuna uhusiano mzuri tu nikaona nimpe.

So guys hii pesa aliniambia atanirudishia ndani ya wiki 2, wiki ya tatu namcheki kiswahili, mwezi namcheki kiswahili, wiki ya sita hivyo hivyo tu yani hadi sasa nimeweza kukomboa elf 50 tu.

Kinachoendelea hadi sasa anatumia nguvu kubwa sana kujenga mazingira ya kunitega niingie nae kwenye penzi tena kwa mtego wa kumalizana nae kwa game 2 ama 3.

vituko ni vingi alianza kunichatisha sana whatsapp na akawa ananiambia anapenda aje awe na mwanaume mwenye sifa ambazo akizitaja najiona mimi kabisa ila nilichomoa.

hapo juzi natoka nyumbani na kigari changu naenda shughuli zangu namuona hatua chache mbele ni kama alitega kabisa, basi nikampa lift akawa ananiangalia sana ila mimi nimefocuss na barabara radio nikiwa nimeifungulia nasikiliza habari, alipunguza sauti na kuniambia siku yoyote wiki hii atanipa ila why naona aibu hata kumuangalia, nilimwambia inabidi niwe makini barabarani, story zingine zikaendelea mpaka nilipomshusha.

jioni yake nilitahamaki sana message ndefu kidogo nayoweza kuisummarize kwamba yeye alikuwa ananipenda sana tangu shuleni ila sikuwa rijali kuweza kumu approach, yani huyu mwanamke!!

Nami kwa mbali nilitaka nipime kina nilipima kidogo sana kwa mtego kabisa dah!! akaanza kuniambia "nakuhitaji uwe ndani yangu sijiwezi nguvu sina" kumwambia ndani kivipi akaanza kuniambia "hivi huo uume wako unafanya kazi ?", nilibaki nastaajabu tu kupatwa na kiburi kwamba huyu kanidharau wacha nimnyooshe lakini nikifikiria naona wazi kabisa nikimlamba nae deni limemalizika.

Jamani!! Najua humu kwa wengine hii ni pesa ya chai lakini binafsi hii laki mbili siwezi kuichukulia poa, Nakazia hapa hapa tu, kama ni game naweza kuipata muda wowote ni ishu ya kutuma hela ya nauli tu.
Wewe umesema familia yao ni family friend tangu utotoni na umeona wazi hana uwezo wa kukulipa bado ametumia busara akulipe penzi maana ndicho alichinacho unakataa halafu unakuja kumkashifu hapa! Kama hutaki kulipwa penzi msamehe na mwambie nimekusamehe. Mbona kuna wanaume wanakopa na kushindwa kulipa? Sasa kama biashara ilienda kinyume na matarajio yeye afanyaje?

Wewe uanaume wako sio kamili. Hivi mwanamke kumtaka mwanaume ni ajabu? Mbona mwqnaume kumtaka mwanamke sio ajabu?

Usimnyanyase binti wa watu kwa hiyo hela uliomkopa hata wewe mambo yanaweza kukuendea kombo ukakopa
 
Back
Top Bottom