Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

Kula mzigo wewe acha ushamba
Usile Mzigo Kaka,250K Nyingi sana angekuwa Kakulipa 250K imebaki 50K Hapo Labda sawa.
Mchane Makavu Mwambie "Dada angu Kama Unafikiri nitakusamehe Deni Kwa Kuchakata Mbususu Umefeli,Mbususu Yako sichakati Pesa yangu Nilipe"
Kariri Hiyo Line niliyoquote Kama Ilivyo Mkuu Ukamwambie.

Mkuu Nakazia Hiyo 250K Yeye Kasema atakupa Game 2 mpaka 3 Lakin Kiuhalisi
250K Unaweza pata Game 20 au zaidi Sinza.
Game 50 Mwananyamala,Manzese.
Game mpaka 60 Kimboka
Kataa Kabisa Mbususu Haina Gharama Hivyo,Pesa yako Ina Thamani Kubwa,
Tena Ukimpa Demu wako hyo 250K Ni simu Moja tu Kila siku Inaileta
 
Pole sana utaamua kupoteza kabisa au kulipwa mbususu.
Hata na hivyo unaweza kuisusa na kuamua kumpotezea kuna kitu atajifunza,assume umepoteza hiyo hela
 
Mkuu
Mkuu asante kwa kunifungua macho, Ni hivyo maana napitia the same situation though kiasi nilichotoa mimi ni kikubwa kwa classmate wangu wa kike. Ulichoelezea hapa kinareflect mazingira kama yako,
 
ukila tuu mzigo na deni ndio limeishia hapo,labda uandae mkataba utumie mbususu kwa sh 1000 kwa siku hadi deni liishe
 
Mkuu

Mkuu asante kwa kunifungua macho, Ni hivyo maana napitia the same situation though kiasi nilichotoa mimi ni kikubwa kwa classmate wangu wa kike. Ulichoelezea hapa kinareflect mazingira kama yako,
komaa nae tu, yani wanataka kugeuza sex ilipie deni huu ni zaidi ya uhuni tu, binafsi ningekuwa na uchu wa sex ni kitendo cha kuinua simu tu, baby pande zipi nimekuingizia 7k ya chips mayai, soda, vocha na usafiri badae tukutane unitibu..
 
ukosefu wa semina elekezi ktk biashara na urejeshaji deni

Kama hutojali nitumie namba yake ,nakwambia sikutatu nyingi Yako yote inarudi na hutaamini (nimpe semina elekezi mana kesho atakosa pakukimbilia) ni PM .
 
Una mja ni demu wa jamaa yangu nilimpa 100k,akataka kuleta hizo pigo nikamtolea nje
 
Sheee kiendacho Kwa mganga hakirudi apparently mababu hawakutuambia kuwa mwanamke ndio mganga,Sasa chukua hii,usijenge chuki na manzi hata siku Moja ni mikosi,we kubali akupe,na hakikisha umeitindua haswa hadi itoe vumbi,ukiweza kula na 0713 Ile kiroho mbaya,halafu leta mrejesho hapa
 
The lady wants to pay you " in kind"
Watu tushapoteza hela nyingi Sana kwa huo ujinga.Wanawake sio watu wazuri wa kukopeshana nao pesa labda awe mwanamke anayejishughulisha haswa.
 
The lady wants to pay you " in kind"
Watu tushapoteza hela nyingi Sana kwa huo ujinga.Wanawake sio watu wazuri wa kukopeshana nao pesa labda awe mwanamke anayejishughulisha haswa.
Kurudisha pesa inategemea na mtu mwenyewe yupoje. Kuna watu wana kazi mshahara mzuri ila wakipata hela hawalipi madeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Ukimkopesha hela mtu unayemfahallmu anaweza asirudishe, utapoteza urafiki na pesa zako.
.
Lakini ukimnyima hela hata akikukasirikia na urafiki ukaisha, at least pesa yako umebaki nayo.
.
Next time kopesha kiasi cha pesa ambacho hata usipolipwa haitaathiri urafiki wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…