Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya Comrade Waziri Nape Mwenyezi Mungu akupe nini na Wewe pitia hapo hapo kuhusu lile Sakata la Kuvamia Clouds Media Group kisha tutawahimiza na Wengine akina Manji nao waje na Mashtaka yao ili mradi huyu Mtu aozee kabisa Jela.

Habari ya Mahakama kuamua Makonda akamatwe upesi ipo katika Gazeti la RAIA MWEMA la Leo ( 19 January, 2022 ) Ukurasa wa Nne ( 4 )

16425710349330.jpg
 
Kineumana
Watanzania mnadhani Sabaya amefanya Makosa mengi wakati huyu Makonda ndiyo Gwiji wa Makosa makubwa, mabaya na ya Kusikitisha na Serikali ( hasa System ) ya nchi ingekuwa makini kama za Israel, Rwanda, Urusi, China, Pakistan, Cuba na Korea Kazkazini huyu Mpuuzi sasa angeshakuwa ni Historia.
 
Hata ijumaa na kiu nayo Yana vibali vya kufanya kazi (kuchapishwa)
kwanini mnapenda kujishushua HADHI ZENU kwa habari za udaku?
Jamii forum inaonekana ni genge la wahuni sababu ya hizi habari.
Ni kweli mnapenda makonda akamatwe Ila jaribuni kutafuta "CHANZO KINACHOAMINIKA"
Kama siyo Gazeti lingepata Kibali cha kufanya Kazi ( Kuchapishwa ) nchini? Acheni kuvuta Bange Asubuhi mkiwa bado hamjanywa Chai sawa?
 
Watanzania mnadhani Sabaya amefanya Makosa mengi wakati huyu Makonda ndiyo Gwiji wa Makosa makubwa, mabaya na ya Kusikitisha na Serikali ( hasa System ) ya nchi ingekuwa makini kama za Israel, Rwanda, Urusi, China, Pakistan, Cuba na Korea Kazkazini huyu Mpuuzi sasa angeshakuwa ni Historia.
Alifanya nini Mkuu Gentamycine tuweke wazi matukio yote ambayo alikwishawahi shiriki huyu kijana mcha Mungu
 
Haya Comrade Waziri Nape Mwenyezi Mungu akupe nini na Wewe pitia hapo hapo kuhusu lile Sakata la Kuvamia Clouds Media Group kisha tutawahimiza na Wengine akina Manji nao waje na Mashtaka yao ili mradi huyu Mtu aozee kabisa Jela.

Habari ya Mahakama kuamua Makonda akamatwe upesi ipo katika Gazeti la RAIA MWEMA la Leo ( 19 January, 2022 ) Ukurasa wa Nne ( 4 )
Unamchukia sana makonda kakufanya nini sijui acha hasira mwanaume wewe
 
Back
Top Bottom