Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tangu kipindi cha magu mlikuwa wapi mnakumbuka shuka kumekucha.Haya Comrade Waziri Nape Mwenyezi Mungu akupe nini na Wewe pitia hapo hapo kuhusu lile Sakata la Kuvamia Clouds Media Group kisha tutawahimiza na Wengine akina Manji nao waje na Mashtaka yao ili mradi huyu Mtu aozee kabisa Jela.
Habari ya Mahakama kuamua Makonda akamatwe upesi ipo katika Gazeti la RAIA MWEMA la Leo ( 19 January, 2022 ) Ukurasa wa Nne ( 4 )
Wawili, mmoja wao ni. WeweMpaka hivi sasa Umebahatika Kumzalia Watoto wangapi kwa Msaada wa Madaktari wa Maabara?
Ali terrorise nyapu yako?He was an invisible Terrorist while in power.
Waziri wa masurufu wa sasa.[emoji769]✓Jamaa gani huyo
Makonda hajawahi kupambana na madawa ya kulevya. Alikuwa akitengeneza namna ya kumfurahisha aliyemteua Kwa kuhakikisha anawabambikia kesi ya madawa ya kulevya wale wote waliokuwa Wapinzani wa Mtukufu Jiwe.Kuna hotuba Moja aliwahi Toa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa taifa.. aliomba rai Kwa viongizi wetu kwamba hii nchi isije kuwa kama Mexico.. Nchi ambayo Mafia Cartel ikiongizwa na mkuu wao Sinaloa Cartel miaka ya 1980s walikuwa na nguvu kiasi ambacho waliweza kuchagua MTU wa kuwa madarakani..
Vilevile haikuwa tabu wao kukuondoa ukiwa umeenda kinyume na mipango Yao au ukionekana kuwa kizuizi..
Makonda pamoja na kuwa na mapungufu yake alijutoa sana kupambana na madawa ya kulevya.. hapa alitangaza vita Kwa hawa watu, kama Kweli hii serikali ni ya Haki inatakiwa uendelee kumuwekea kinga na sio vinginevyo.
Tofauti na hapo itakuwa haina tofauti na Ile ya Mexico..
Ulitegemea magazeti unayosoma wewe ya UHURU , DAILY BLAH BLAH au TANZANITE waandike hizo habari?Magazeti mengine mbona hayajaripoti habari njema kama hii?
Nina mashaka na hii habari
Hon gazet pale Ni waongo waongo Sana Kaz kubuni story tu kila siku