Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

Hii kesi ya kumshtaki makonda naona inalazimishwa na wauza unga, mashoga na timu gaidi wamejaa chuki nae
 
Vita ya matajiri ni mbaya sana
Mambo yote aliyotufanyia manji bado unamuona kaonewa alitakiwa yeye ndo awe wa kwanza kwenda jela.

Makonda alikuwa sahihi ila hakutumia njia sahihi.
 
On behalf of American I stand here to say to all people who were mistreated by Paul Makonda to prepare their evidences before submitting to the court.

We as American we want to remind the world that we will follow this case step by step,word to word as the self evidence that we are all created equal and no one endorsed to violent the other's rights.

As the fundamental right to live,speak and walk to the forgotten corner of the world and other parts of the world matters more than anything else.

Different stories recorded everyday and everywhere about violating human rights. We have responsibility to protect the world from all threats, suppressing, oppression and evil acts. Thank you
We kweli frustration..
 
/the apathy of the people of that war-torn country comes from their having seen too many horrors
 
Sasa huyu mtu anafanya mini nchini?!
Si akimbilie hata Sudani huko, Somalia au hata afughanistan.
 
Mambazi ni jopo la watu wanaouza madawa unao wakingia kifua hapa..

Yule hakuwa jambazi wakati huo.. alikuwa ni mkuu wa majeshi yote Dar-es-salaam Kwa kifupi alikuwa ndie msimamizi wa Ulinzi hapo mjini Dar-es-salaam kutembea na wanajeshi wakiwa na silaha ni sahihi..

Vita aliyoianzisha na watu wa madawa ilifaa alindwe tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mtaeleza mahakamani kama mnaona yatawasaidia. Kama ni kweli hakua jizi, jambazi, gaidi na tapeli, basi hamna haja ya kuogopa kwenda mahakamani.

Tulizeni miguu, ni muda wa sindano!
 
Hizo zilikuwepo enzi zile mpk makonda akavamia clouds na kutaja majina watu ambao wanauza dawa za kulevya bila kufauata sheria
Nashangaa watu wanataka kujisahaulisha mapema kiasi hiki. Mambo hayo yalitamalaki awamu ya tano.

Enzi za mwenda zake mtu anaingia kwenye biashara za watu anapora pesa na mali kisa eti hamumjui yeye ni nani!!!? Halafu tunaambiwa eti ni mtu wa kitengo
 
Lengo ni kumsafisha Makonda tu ili arudishwe kwenye teuzi.
 
Back
Top Bottom