Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sijui hata nikujibu nini ili ionekane kuwa sina nia ya kukuvunjia heshima!Kuna kitu gani ambacho nimeandika hapo ambacho nimemsingizia mtu?Rais anaehamasisha ufisadi kwenye serikali yake siyo fisadi?Utakachokipata hutaamini usifikiri upo JF basi upo sawa