GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watanzania mnadhani Sabaya amefanya Makosa mengi wakati huyu Makonda ndiyo Gwiji wa Makosa makubwa, mabaya na ya Kusikitisha na Serikali ( hasa System ) ya nchi ingekuwa makini kama za Israel, Rwanda, Urusi, China, Pakistan, Cuba na Korea Kazkazini huyu Mpuuzi sasa angeshakuwa ni Historia.Kineumana
Hopeless mkubwa yaani mpaka leo hujajua kuwa Gazeti la RAIA MWEMA ni la 'Kiuchunguzi' zaidi kama lilivyo la JAMHURI lao akina Manyerere Jackton 'Poti' wangu wa Kizanaki?Magazeti mengine mbona hayajaripoti habari njema kama hii?
Nina mashaka na hii habari
Kama siyo Gazeti lingepata Kibali cha kufanya Kazi ( Kuchapishwa ) nchini? Acheni kuvuta Bange Asubuhi mkiwa bado hamjanywa Chai sawa?hivi raia mwema nalo ni gazeti?
Kama siyo Gazeti lingepata Kibali cha kufanya Kazi ( Kuchapishwa ) nchini? Acheni kuvuta Bange Asubuhi mkiwa bado hamjanywa Chai sawa?
Tuwekeane hata dau. Makonda hatashikwa mwaka huu.Hopeless mkubwa yaani mpaka leo hujajua kuwa Gazeti la RAIA MWEMA ni la 'Kiuchunguzi' zaidi kama lilivyo la JAMHURI lao akina Manyerere Jackton 'Poti' wangu wa Kizanaki?
Alifanya nini Mkuu Gentamycine tuweke wazi matukio yote ambayo alikwishawahi shiriki huyu kijana mcha MunguWatanzania mnadhani Sabaya amefanya Makosa mengi wakati huyu Makonda ndiyo Gwiji wa Makosa makubwa, mabaya na ya Kusikitisha na Serikali ( hasa System ) ya nchi ingekuwa makini kama za Israel, Rwanda, Urusi, China, Pakistan, Cuba na Korea Kazkazini huyu Mpuuzi sasa angeshakuwa ni Historia.
Unamchukia sana makonda kakufanya nini sijui acha hasira mwanaume weweHaya Comrade Waziri Nape Mwenyezi Mungu akupe nini na Wewe pitia hapo hapo kuhusu lile Sakata la Kuvamia Clouds Media Group kisha tutawahimiza na Wengine akina Manji nao waje na Mashtaka yao ili mradi huyu Mtu aozee kabisa Jela.
Habari ya Mahakama kuamua Makonda akamatwe upesi ipo katika Gazeti la RAIA MWEMA la Leo ( 19 January, 2022 ) Ukurasa wa Nne ( 4 )