Alipewa million sabiniSasa hii ndio inatakiwa. Tuhuma kwa USHAHIDI WA NYARAKA sio mipasho yakina Msukuma. Tupatie zaidi, jee alifanikiwa? Alipewa zote au sehemu ya maombi?
Kudaddeki ccm walah! Ngebe nyingiiii kumbe wananuka kama shimo LA choo kwa uvundo walio nao.
Daaah aiseKaka kigogo anasema ,Gekul amevuliwa bra na lichupi na Bashiru Ally ndo akapewa 70m
Kausha utakula pale unapofanya kaziNdo maana nasemaga Mara zote Tanzania vyama vungi vya siasa Ni magenge ya ulaji.sio ccm wala upinzani.Huenda ruzuku zinaliwa sana, usione wale wabunge Viti maalumu note, Huenda rushwa za ngono zipo pia.Msajiri angekuwa na meno angechunguza hili
Hahahaha Hahahaha kumbe yanajiuza yenyewe
Siri ya ushindi ni goli la mkonoKwa mfano kwa akili yako hiyo harua ina madhara katika ushindi wa ccm?
Kwanini huyo kigogo msimwambie awape siri za ushindi wa ccm.?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Haahaa, sipati picha polepole katafuna wangapi.duh hivi vyama Ni magenge.Na wako busy kusema mbowe anawatafuna wabunge wa kike sasa kwa tarifa wanasema bashiru ameshamtafuna gekuli
Polepole,Alipewa million sabini
Umeshamusaidia Mbowe kunyoosha guu lake lilitundikwa hogo sababu ya ulevi wake?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kigogo ameshaanza yake Twitter Leo amekuja na documents zote
Hawa watu ni hatari sanaPolepole,
Njoo umpelekee Bash Boy mzigo wake.View attachment 1478476
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
..........Na wako busy kusema mbowe anawatafuna wabunge wa kike sasa kwa tarifa wanasema bashiru ameshamtafuna gekuli
Duhh hizi Papuch zitauza nchi Kwa style hiiAmetafunwa na bashiru tayari
Watagongwa na walevi huku mtaani..........
..........Mkuu kitu maharage ya Mbeya sasa ndo atagongwaje huku kitaa maana wanarudi uraiani wakiwa hawana UBUNGE
Hahahha.. Na utapanic sana, na bado hadi oktoba miguu yote itawekewa mamihogo..Nlikua namnyoosha mama yako
Nanii alipewa ml70 unakuja hilo??Haya maneno mliwahi kumwambia yule Muha kwamba hali ya usaliti inamtafuna ila sasa mko nae mpaka leo.
Hii imetulia. Safi sana. Ni dalili kwamba huko ccm kunawaka moto, kati ya "wakuja" na "wazawa". Ngoma nzito sana. Kina Silinde wasifikiri kwamba kumtukana Mbowe na kumsifia Magu ndio wamemaliza mchezo. Tutaona na kusikia mengi kadiri muda unasogea uchaguzi mkuu 2020Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
Kweli kabsaa mkuukitaalamu kama chadema wanaiita saccos basi ccm ni kikoba [emoji23][emoji23][emoji23]
malipo ni hapa hapa duniani.,karma is real what goes around comes around [emoji14][emoji14]
Sacco's na VikobaHaahaa, sipati picha polepole katafuna wangapi.duh hivi vyama Ni magenge.