Vipi mtangaza vifo vya corona? Vipi mission yenu imebuma?Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
wazee wa uongo na uzushi hamkomi tu? nyie ndio huwa mnatusumbua mitandaoni na fake news.chadema bhana
OhoooooMama Janeth Magufuli ni mgonjwa hoi kabisa!
Ahhh vibaya hivyo, wapeni nafasi ya kupumua.Ubaya wote Duniani makao makuu yake ni CCM
Nasikia alipewa M70. Yaani aliongezewa M20 zaidi baada yakuliwa na KM hahahaaa. CCM ni shida. Ni mwendo wakuvuana vyupi tu.Sasa hii ndio inatakiwa. Tuhuma kwa USHAHIDI WA NYARAKA sio mipasho yakina Msukuma. Tupatie zaidi, jee alifanikiwa? Alipewa zote au sehemu ya maombi?
Kudaddeki ccm walah! Ngebe nyingiiii kumbe wananuka kama shimo LA choo kwa uvundo walio nao.
Ushahidi halisi wa Takukuru kufanyia kazi ndo kama huu sasa. TAKUKURU mpo wapi?Duh!!Siri zimeanza kuvuja kuelekea uchaguzi mkuu na kuvuja huku ni dalili ya msuguano ndani ya chama kama sio makundi.
Sasa siju katibu mkuu au mwenyekiti huwa anakopa kiasi gani na sijiu nani uwa anakagua maesabu.
Tena na ngoma juu. Huyo mtu atawamaliza sana kwa ngoma. Nawahurumia sana.Haahaa, sipati picha polepole katafuna wangapi.duh hivi vyama Ni magenge.
Serious ?? Kabisa mtu mwenye level ya Ubunge anaweza lia lia kiasi? Hiki tena akiwa zaidi ya miaka 9 mbunge na maanisha hii ni awamu ya pili.Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
Ungekuja pia na zile Tr. 2.4 ingependeza sana.Hakuna jipya hapo mi nilidhani umekuja na ushahidi wa zile bill 8 kuwa hakula mbowe Ila Alie zitafuna ni Pauline gekul!!!!
Nimeiskrishot na kuiprint kwa matumizi ya baadae ikiwa ni pamoja na kuwaonyesha watoto wangu wakiwa wakubwa by that time there will be no ccm.Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
Upo nyuzi humu itafute utapata jibuUngekuja pia na zile Tr. 2.4 ingependeza sana.
Sio takokuru mkuu ni takohuru linatumiwa nayeyote mwenye uhusiano na yesu.TAKOKURU wao wapo bize na Chadema tu!
Laana ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha 4
Utafikiri umenasa wewe hata aibu huna.Wako bize kusema Chadema wanajikopesha ruzuku. Leo tunanasa nyaraka kumbe wao ndiyo vinara.
Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
View attachment 1478408
Laana ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha 4
Haya mahayawani yalikuwa yanapitishwa kinguvu kumbe yaliandikiana hasa kuhusu mkopo waliopewa.
Aiseee ni hatari sana kumbe aliunga mkono JUHUDI kumbe madeni yalifika shingoni.
Wako bize kusema Chadema wanajikopesha ruzuku. Leo tunanasa nyaraka kumbe wao ndiyo vinara.