Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Makamu alitaka kujiuzur lkn wakamshawishi abaki maana ataleta tafsir mbaya, akawa Hana namna akabaki Kama sanamu ya pale post.!
 
Mzee wa vieteeee..unaijua vieteee wewwee..halafu inawashwa AC masaa yote
 
Kwa picha hii watakubalije katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi? haipo labda hawa hawa wanaowaita mabeberu waamue.
 
Atakuwa mubashara kesho Jumamosi saa 3:00 usiku Channel ten

Usipange kukosa kushuhudia CAG akiketishwa!
 
ilikuwa ni serikali ya one-man show.Alitaka kujiuzulu mara nyingi sababu ya kutokubaliana na meko.
Kwa nini hakufanya hivyo sasa? Au kitu gani kilikuwa kikimbakiza kwenye kile kiti cha umakamu?
 
Hv unajua maana ya uwajibikaji unajua maana ya presidency au unaropoka kama mtoto wa darasa la kwanza.....
kama kweli kuna ufisadi huo......
mama hawezi kukwepa kuwajibika
Enzi za magufuli hakukua na presidency kwa maana ile halisi,mzee alijimilikisha taasisi so taasisi ya Uraisi ikawa ni yeye as magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…