Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?

Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Makamu alitaka kujiuzur lkn wakamshawishi abaki maana ataleta tafsir mbaya, akawa Hana namna akabaki Kama sanamu ya pale post.!
 
Mzee wa vieteeee..unaijua vieteee wewwee..halafu inawashwa AC masaa yote
 
Kwa picha hii watakubalije katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi? haipo labda hawa hawa wanaowaita mabeberu waamue.
 
Humphrey Polepole mtu anayetajwa kama Gwiji la hesabu za Fedha miongoni mwa wanaccm waliosalia kwa sasa anaombwa kujitokeza tena kama alivyofanya huko nyuma alivyopangua hoja za CAG wa zamani Profesa Assad ili kusawazisha upepo mbaya unaovuma

View attachment 1747421
Atakuwa mubashara kesho Jumamosi saa 3:00 usiku Channel ten

Usipange kukosa kushuhudia CAG akiketishwa!
 
ilikuwa ni serikali ya one-man show.Alitaka kujiuzulu mara nyingi sababu ya kutokubaliana na meko.
Kwa nini hakufanya hivyo sasa? Au kitu gani kilikuwa kikimbakiza kwenye kile kiti cha umakamu?
 
Hv unajua maana ya uwajibikaji unajua maana ya presidency au unaropoka kama mtoto wa darasa la kwanza.....
kama kweli kuna ufisadi huo......
mama hawezi kukwepa kuwajibika
Enzi za magufuli hakukua na presidency kwa maana ile halisi,mzee alijimilikisha taasisi so taasisi ya Uraisi ikawa ni yeye as magufuli
 
Back
Top Bottom