Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wasaidizi wake mliyobaki hai mtazitapika hizo pesa mliyozichota.Imejaa kashfa na usaliti kwa magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasaidizi wake mliyobaki hai mtazitapika hizo pesa mliyozichota.Imejaa kashfa na usaliti kwa magufuli
Ukijiuzulu wanakupoteza..kua mwelewaKwahiyo kujiuzulu alishindwa kama alikuwa hakubaliani na maovu?
Makamu alitaka kujiuzur lkn wakamshawishi abaki maana ataleta tafsir mbaya, akawa Hana namna akabaki Kama sanamu ya pale post.!Kwa ufisadi mkubwa ulioibuliwa na CAG uliofanyika awamu ya tano, makamu wa Rais wa kipindi hicho anakuwaje msafi ilihali ndiye aliyekuwa mtendaji wa karibu zaidi na Rais?
Tukiacha siasa, ni dhahiri kabisa haya yote yametendeka kutokana na uzembe wa mwendazake na wasaidizi wake akiwemo Rais wa sasa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Sishughuliki na watu wavivu wavivu, tafuta katiba ya nchi yako, isome section moja baada ya nyingine, hakikisha uwe umeshakula chakula cha mchanaIweke hapa tusome na wengine
Kamfateni analiwa na mafinyofinyo kwa sasaNyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tu
Hapajawahi kuwa na rais mzalendo kama fisadi magufuli.Wasaidizi wake mliyobaki hai mtazitapika hizo pesa mliyozichota.
You're just being noisy while you have no concrete facts. Wastage of time. SOB !!!Comment as an unbiased great thinker.
Subirin arudi tena, mtajuta kuzaliwaKamfateni analiwa na mafinyofinyo kwa sasa
ohooooo !!!Imejaa kashfa na usaliti kwa magufuli
Mkuu, kwani wewe ulikuwa wapi? Mbona hukuzuia?Samia wakati madudu yanafanyika alikuwa wapi?
Atakuwa mubashara kesho Jumamosi saa 3:00 usiku Channel tenHumphrey Polepole mtu anayetajwa kama Gwiji la hesabu za Fedha miongoni mwa wanaccm waliosalia kwa sasa anaombwa kujitokeza tena kama alivyofanya huko nyuma alivyopangua hoja za CAG wa zamani Profesa Assad ili kusawazisha upepo mbaya unaovuma
View attachment 1747421
Magufuli anawaona tu mnavyomfanya hakunaohooooo !!!
Kwa nini hakufanya hivyo sasa? Au kitu gani kilikuwa kikimbakiza kwenye kile kiti cha umakamu?ilikuwa ni serikali ya one-man show.Alitaka kujiuzulu mara nyingi sababu ya kutokubaliana na meko.
zote tunazoMwenye ile video anarusha rusha pyumbu last year kwenye ukumbi wa fisiemu tafadhali aiweke.
Enzi za magufuli hakukua na presidency kwa maana ile halisi,mzee alijimilikisha taasisi so taasisi ya Uraisi ikawa ni yeye as magufuliHv unajua maana ya uwajibikaji unajua maana ya presidency au unaropoka kama mtoto wa darasa la kwanza.....
kama kweli kuna ufisadi huo......
mama hawezi kukwepa kuwajibika
Sisi tutamlilia Mungu aliyehai kwa kufuja mahalalio yetu! Kwakuua na kuwatesa watanzania wenzetu.Tutaenda kumlilia magufuli kwenye kaburi lake kwa haya mnayoyafanya.
Tunamsubiri kwa hamu kubwa sana!Subirin arudi tena, mtajuta kuzaliwa