Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapajawahi kuwa na rais mzalendo kama fisadi magufuli.
Aiseeee !!View attachment 1747443
Hii inchi tajiri sana
magufuli alipokua anamnanga mtangulizi wake kikwete. Kwanini yeye magufuli hakujiuzuru wakati wa kikwete.Kwahiyo kujiuzulu alishindwa kama alikuwa hakubaliani na maovu?
....makamu wa Rais na waziri mkuu wanatakiwa kuwajibishwa kama Rais hayupo hawa ndio washauli wakuu wa Rais... waziri mkuu ndie msimamizi wa shughuri zote za serikali hapaswi kubaki ofisini....ila Kwa Tanzania inawezekana na lawama zote watamtupia hayatiMwenye madudu alietakiwa kujiuzulu ndo kaenda zake.
Nafasi imechukuliwa na samia
Haina tatizo
Muda mfupi wameshaanza kusahau kauli na mentality ya late sir?Kwani yeye ndio alikuwa rais? Rais wako alikuwa anashaurika? Si alisema kwamba hapangiwi jambo?
Ilitakiwa ajiuzuluulitaka ambishie boss wake hata kama hataki?
Naombeni handle ya Cyprian Musiba wadau
Umesahau kumweka mwanaccm mwenzangu Rioba kwani ndo bingwa wa Uzalendo.Nyie wapinzani mkishirikiana na samia mnamchafua shujaa wa afrika mzee magufuliz ila poa tu
....kama alikuwa hashirikishwi na anaona kabisa Nchi inaenda kuumizwa kwa maamuzi ya Rais ilipaswa ajiuzuru.....lakini kama alinyamaza na kwenye majukwaa akawa anatetea maamuzi yao inapaswa awajike/awajibishwe tufanye uchaguzi upya...hatuwezi kuwa na Nchi ya namna hii ya kila awamu inafanya ufisadi alafu tunaogopa kuchukua hatuaMakamu wa rais asiyeshirikishwa na akabaki madarakani bila kujiuzulu,anafaa kuwa rais?
Mkuu mtoto wako wa kiume akibaka utakuwa tayari kufungwa miaka 30 kwa kosa lake?Makamu wa rais asiyeshirikishwa na akabaki madarakani bila kujiuzulu,anafaa kuwa rais?
.....hata huyo unaemtetea kila alipokuwa anapanda jukwaani alikuwa anaitetea nakuisifia serikali yake....rejea hotuba yake ya tanga March 12 2021Kwenye mazuri mlikuwa mnaimba jina la mmoja tu, kwenye mabaya ndio mnaingiza na wengine! Watu bhana
hakuna ambacho hatuna , hata akifutaanazo nyingi na alizifuta few hours after the burial of jiwe.
Unatoa mifano isiyohusiana,Samia hakuwa mtoto wa MagufuliMkuu mtoto wako wa kiume akibaka utakuwa tayari kufungwa miaka 30 kwa kosa lake?
Kwa hiyo raisi apate wakati mgumu kwa sababu ya kumuumbua Meko na viongozi wengine walafi?Come on..Sisi wananchi tulio wengi tunamsapoti mother!!!!yanaenda kumpa wakati mgumu sana Mh SSH kuongoza Taifa hili