Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

Ulitaka atekwe? Kama mwendazake bila aibu aliweza kumteka MoDewji angeshindwa kuwaambia wasukuma wenzie aliowajaza Ikulu wampe sumu Samia?

Tumia ubongo kufikiri sio makalio!
 
Nikiwa napitia katiba ibara ya 54 -1 ghafla ikaandika bila kijali ibara ya 37

Nikashangaaa heee mawaziri wanaotakiwa wamshauri Mh Rais lakn kumbe anaweza akaamua kutofuata ushauri wa yyt. Nikapigiwa msitari
 
Mwenye madudu alietakiwa kujiuzulu ndo kaenda zake.
Nafasi imechukuliwa na samia
Haina tatizo
....makamu wa Rais na waziri mkuu wanatakiwa kuwajibishwa kama Rais hayupo hawa ndio washauli wakuu wa Rais... waziri mkuu ndie msimamizi wa shughuri zote za serikali hapaswi kubaki ofisini....ila Kwa Tanzania inawezekana na lawama zote watamtupia hayati
 
Angeanza mwendazake maana ufisadi haujaanza leo kwa maccm,hata hivyo huo msamiati hautumiki nchi hii.Pili labda PM ndio alikuwa mtendaji mkuu wa serikali
 
Kwenye mazuri mlikuwa mnaimba jina la mmoja tu, kwenye mabaya ndio mnaingiza na wengine! Watu bhana
 
Ngonjera za Pascal Mayalla ni kulilia cheo akazane mama anaweza kumkumbuka
 
Makamu wa rais asiyeshirikishwa na akabaki madarakani bila kujiuzulu,anafaa kuwa rais?
....kama alikuwa hashirikishwi na anaona kabisa Nchi inaenda kuumizwa kwa maamuzi ya Rais ilipaswa ajiuzuru.....lakini kama alinyamaza na kwenye majukwaa akawa anatetea maamuzi yao inapaswa awajike/awajibishwe tufanye uchaguzi upya...hatuwezi kuwa na Nchi ya namna hii ya kila awamu inafanya ufisadi alafu tunaogopa kuchukua hatua
 
Kwenye mazuri mlikuwa mnaimba jina la mmoja tu, kwenye mabaya ndio mnaingiza na wengine! Watu bhana
.....hata huyo unaemtetea kila alipokuwa anapanda jukwaani alikuwa anaitetea nakuisifia serikali yake....rejea hotuba yake ya tanga March 12 2021
 
yanaenda kumpa wakati mgumu sana Mh SSH kuongoza Taifa hili
Kwa hiyo raisi apate wakati mgumu kwa sababu ya kumuumbua Meko na viongozi wengine walafi?Come on..Sisi wananchi tulio wengi tunamsapoti mother!!!!
 
Back
Top Bottom