Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Tatizo upeo tu, wale watu wanatakiwa kuwa wanapewa safari za boti bure kuja huku bara kujifunza watu wanavyoishi.

Kukaa kwao sehemu moja muda mrefu kumewafanya kuwa kama wanakijiji wasiojua nini kinaendelea kijiji cha pili.

Wanawazuia wengine wasile kisa wao wamefunga, sasa badala ya kufunga kuendane na unyenyekevu, wao wanaleta ubabe, hiyo inakuwa funga ya sampuli gani?

Wanajidai kufunga huku wanawaza kula muda wote ndio sababu yao kupiga marufuku wengine wasile, kama wangekuwa wanafunga kweli wasingekuwa na muda wa kufikiria wengine wanafanya kitu gani.

Unamletea kisirani anayekula, kwani wewe nani alikulazimisha ushinde na njaa tena ikiwa umekula usiku kucha? hii kitu kumbe inaonesha hao wafungaji hawafungi kwa moyo, ni hizo sheria zao huko ndio zinawalazimisha kufunga.

Jambo la kiimani halitakiwi kusukumwa na kiboko, hiyo inakuwa sio imani tena, ni amri ya ulimwengu ambayo inakuwa lazima muifuate mtake au msitake.

Huwezi kumlazimisha mtu kwenda mbinguni kwa kiboko, atakuwa tu anakufurahisha machoni kwa kushinda na njaa, kumbe moyoni anatamani kupiga msosi, hiyo funga ya hao jamaa simply naona ni maigizo matupu.
 
Huwa wanawavua koti la uislamu wanaofanya hayo mambo lakini changamoto haiishi. Bahati mbaya pia ni wao kutokubali kukosolewa na kuelimishwa,karne ya 21 wanataka watu tuishi kama karne ya 8 kwenye Islamic caliphate.
 
Mbona wa Tanganyika wanaishi vizuri na wenye imani tofauti?
 
Uislamu ni ngumu kua compatible na jamii nyingine kwa amani.

Waislamu hujiona wao ndio wenye haki kuliko jamii nyingine. Waislamu hujiona wananyanyasika kuliko jamii nyingine.

Waislamu hawana jambo dogo la kutumia tu akili. Kumbuka mtoto aliwahi kukojolea quran mbagala walitaka kumuua bila kuwaza kua huyu ni mtoto na reasoning yake bado ndogo, wao walitaka kumuua.

Waislamu hudharau tamaduni za jamii nyingine hivyo kusababisha migogoro isiyoisha, mfano, wao tu ndio wanataka wawe wanachinja, wengine wakichinja ni kosa. Kwamba tamaduni za jamii nyingine ni za hovyo ila utamaduni wa kiarabu ndio sahihi.

Kosa lingine la uislamu ni kwamba utamaduni wa kiarabu ama wa mashariki ya kati uko embeded kwenye uislamu, hivyo ni ngumu kutofautisha kati ya uislamu na uarabu. Sasa wao wakienda mahala wanataka walazimishe utamaduni wa kiarabu kwa tamaduni za watu wengine.

Ukishaona dini ambayo wenyewe hawaelewani kwa sababu ya dini basi ujue hiyo dini ni Magumashi. Iran haielewani na Saudi Arabia kwa sabau ya kidini. Hawa washia hawa wasuni. Yaani tofauti zimeingia hadi kwenye siasa.

Alkaida haelewani na talibani, Janjaweed haelewani na mujahideen, Isis haelewani na Alkaida, alshababu haelewani na alikaida, talibani haelewani na alshababu wakati wote wanamtetea mungu mmoja. Na hawaelewani kwa hatua ya kuuana, wakikutana damu inamwagika, wanachinjana.

Hii dini ni tatizo.
 
Loud and clear, kuna shida kwenye hii imani inapo deal na wasio amini.
 
waislamu popote walipo duniani ni watu wa chokochokondio maana hata ulaya wanawakaribisha ulaya kwawema ila waki wa out number watataka kuisilimisha ulaya yani hii dini ni keroduniani ndio maana india nachina hawakubali hii dini ishamiri wanajua nibomu labaadae. Ni incubation YA MAGAIDI POPOTE DUNIANI.
 

Umeshikwa na mihemko tuh na islamophobia,Kwanza huyo anaepigwa hapo kaambiwa kabisa kuwa hapo SI bara,hajatajwa mkristo hapo, besides wapo waislam wengi vile vile ambao hawafungi na wanakula mchana mwezi wa Ramadhan,wewe una uhakika Gani kuwa huyo anaepigwa hapo ni mkristo?Kitu KILICHOPO hapo ni uzanzibar na ubara na sio uislam,Kwa sababu kama waislam hata bara tupo na tunaishi na makafiri Kwa kuvumiliana hata wakila mbele yetu,na funga ni ibada ya mja na mola wake,funga Wala haiharibiki Kwa mfungaji kutamani chakula au maji,so hicho kilichofanyika has got nothing to do with Islam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…